Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kivipi, Kilimanjaro Express ilikuwa inaitwa SAWAYA, Sawaya ni jina la Tajiri, Dar Express imeanza 1982 ikiwa ni malori ya kubeba magogo baadae akaja mabasi na malori na mpaka sasa Mzee Mremi unamuona na hayo mabasi,;Ni kweli mi ni wa 2000's ila huo kwaka mliokuwa mnayapanda naona kama umetupiga!!!
Ngorika zipo mpaka sasam ndio familia moja akina Kley , Chakito, Kirumo charo,
Bazuu ilikuwa inatoka DAr- Moshi- Arusha, Nairobi kampaala kwa siku moja.
Oxygen ilianzia Nairobi-Arusha - moshi to Dar,
SUKIWA ilikuwa mabasi ya SHIRIKALA SERIKALI YA TANZANIA.
MALETHO and another Maletho na mengine mengi sijakutajia mjukuu wangu.
nipe shikamoo.