LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku

Ni kweli mi ni wa 2000's ila huo kwaka mliokuwa mnayapanda naona kama umetupiga!!!
Kivipi, Kilimanjaro Express ilikuwa inaitwa SAWAYA, Sawaya ni jina la Tajiri, Dar Express imeanza 1982 ikiwa ni malori ya kubeba magogo baadae akaja mabasi na malori na mpaka sasa Mzee Mremi unamuona na hayo mabasi,;
Ngorika zipo mpaka sasam ndio familia moja akina Kley , Chakito, Kirumo charo,
Bazuu ilikuwa inatoka DAr- Moshi- Arusha, Nairobi kampaala kwa siku moja.
Oxygen ilianzia Nairobi-Arusha - moshi to Dar,
SUKIWA ilikuwa mabasi ya SHIRIKALA SERIKALI YA TANZANIA.
MALETHO and another Maletho na mengine mengi sijakutajia mjukuu wangu.

nipe shikamoo.
 
Huu mwaka 19990 we unaona uko Sawa?
 
Airport pale ni masaa 24 je mabasi mnasubiri nini?
 
kumbe marangu alikuepo mda nlijua wa juzi alivokuja na yutong meusi yale
 
Masaa 24 kwa madereva wepi? Ni hawa hawaa wa mabasi wanaotanua hovyo hovyo na kutowajali watumiaji wengine wa barabara? Trust me ajali zitakazofuatia hapo ….zitakuwa za kutisha sanaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…