Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
- Thread starter
-
- #61
Ila wewe jamaa yaani kweli kumuelekeza ras wa nchi JF?Nchi nzima michomoko iligongana hadi marufuku itolewe nchi nzima,? Hata Simiyu tu haikuwa sahihi kupiga marufuku mkoa mzima.Kila mtu anatakiwa kubeba mzigo wake .Huwezi bebesha zigo la michomoko miwili ukabebesha michomoko mkoa wote au nchi yote
Chama cha CCM na Serikali kazi kwenu .Huku sio kutenda haki
Waziri mkuu na Mama Samia ingilieni kati ni uonezi .Halafu watu wanaropoka tu wakati mbadala haujaandaliwa .Majaliwa tengua hiyo Amri hadi mbadala upatikane
Raisi ukiona Waziri Mkuu yuko kimya tengua wewe na uwatengue wote wakaa kimya wakikusubiri wewe
Ina maana kazi yao nini sasa kama hawakusaidii vitu vitu vidogo kama hiki
HapanaHata noah ziondolewe haraka
Jamaa boya sn, noah na michomoko ni hatari sn kiafya na ajaliIla wewe jamaa yaani kweli kumuelekeza ras wa nchi JF?
Noah inatakiwa kubeba watu 6 lakini inabeba mpk 14 how?Hapana
Muulize, RC mmoja akikosea ni sawa kuwafukuza kazi wote, akiwamo yeye?Tatizo watu wanafanya maamuzi wakiwa wamekaa kwenye ofisi kwenye makochi hawaelewi huko nje kuna nini
Michomoko ndio msaada mkubwa wa usafiri maeneo mengi tu yenye changamoto za usafiri
Ila wewe jamaa yaani kweli kumuelekeza ras wa nchi JF?
Kifupi Kafulila na hao Latra walichofanya sio collective responsibility ni collective stupidityMuulize, RC mmoja akikosea ni sawa kuwafukuza kazi wote, akiwamo yeye?
Piga marufuku, na toa njia mbadala watumie usafiri upi
Wacha tusubiri maamuzi mengineKifupi Kafulila na hao Latra walichofanya sio collective responsibility ni collective stupidity
Unawezaje kupiga ban bila kutoa njia mbadala?
That is purely collective stupidity wanatakiwa wafungashwe virago wote hawamsaidii Raisi
Kabisa, nchi haina ajira, mnapiga marufuku tu kipuuzi, hawa wamejipatia kodi wamelipa bima, hiyo michomoko haina vts? Tuna uhakika gani kama michomoko ndio unamakosaKifupi Kafulila na hao Latra walichofanya sio collective responsibility ni collective stupidity
Unawezaje kupiga ban bila kutoa njia mbadala?
That is purely collective stupidity wanatakiwa wafungashwe virago wote hawamsaidii Raisi
Yaani nchi kuna baadhi ya viongozi wajinga mno kumjua kuwa mjinga ni kwenye maamuzi yake ndipo utajua kuwa huyo kiongozi mjinga ndipo utashangaa ahaaa kumbe huyu akili kichwani hazimo kumbe!!Kabisa, nchi haina ajira, mnapiga marufuku tu kipuuzi, hawa wamejipatia kodi wamelipa bima, hiyo michomoko haina vts? Tuna uhakika gani kama michomoko ndio unamakosa
Ndio imeonekana kwenye ajali, Huo ndio ushahidi,Kabisa, nchi haina ajira, mnapiga marufuku tu kipuuzi, hawa wamejipatia kodi wamelipa bima, hiyo michomoko haina vts? Tuna uhakika gani kama michomoko ndio unamakosa
haiwezi barabara iangushe michomoko tuPole yao sana wafiwa... Waangalie na uchakavu wa barabara pia...
Hapo tatizo ni ni la gari au la dereva?.Kosa la dereva na abiria wenyewe wanaokubali kipakiwa hivyo alafu unapiga marufuku gari.inaingia akilini kweli.Hizi gari ni shida yaani mtu anapakia abiria hadi mwenyew dereva anakaa upande upande na zipigwe marufuku tu
Tatizo sio aina ya gari,kwasababu uko arusha unakokusema bado kuna hiace na noah zinazoenda mbali kama arusha-karatu nazinaenda vizuri tu kama ni ajali nizile zinazotokana na makosa ya dereva.Majuzi tu kuna ajali za costa imetokea uko tanga je nako costa zipigwe marufuku.njia sahihi yakupunguza ajali ni kumdhibiti dereva na kuboresha miundombinu.Hizo nyingine ni njia za mkato zasisi tusiotaka kuumiza kichwa kutatua tatizo.Hata kama mbadala haujapatikana, maamuzi aliyochua Kafulila ni sahihi ili kuokoa maisha ya wananchi.
Kiongozi hawezi kukaa kimya akishuhudia watu anaowaongoza wakiteketea(ndani ya siku 12tu vifo 10!).
Kusema kosa ni la dereva ni sawa ila aina ya vyombo husika na mazingira vinaweza kuwa chanzo pia.
Ninakumbukuka kipindi cha nyuma huko kaskazini njia ya Arusha - Moshi kulikuwa na ajali nyingi sana ambazo chanzo kikuu ilikuwa mabasi madogo 'Hiece'. Serikali iliamua kuyapiga marufuku na zile ajali zikakoma.