Ni balaa safari ya kasulu to makere utadhan mnaenda bukoba kwa speed wanazotembea nazo
Maendeleo huja kwa kwenda mbio iwe magari au kutembea kwa miguu
Nchi zote zisizo na maendeleo watu wake hutembea Taratibu sana hata kwa miguu .Tanzania ikiwemo watu hutembea Taratibu utafikiri mwendo wa Twiga hata katikati ya mji au sokoni au sehemu za misongamano au wazi
Kigezo kimoja cha kupima maendeleo ni kasi ya watu kutembea kwa miguu au magari
Magari yanatakiwa yakimbie spidi hatari kuwaisha abiria na mizigo.Slow motion ni slow development.
Kujua nchi imeendelea au la angalia motion ya magari au watu
Ukiona slow motion au jam kibao hakuna maendeleo hapo
Nenda nchi zilizoendelea motion kali hatari na watu hutembea spidi kali hata kwa miguu
Tanzania hata ukitaka kwenda spidi matuta kibao barabarani,ma torch ya traffic kibao barabarani na hata bila torch unapigwa mkono na traffic polisi kila kona kila baada ya robo kilomita kukupunguzia spidi na kuwahi uendako.kuwahisha watu au mizigo!
Ndio maana ukatungwa msemo No hurry in Africa. Sababu hata uwe na kila kitu kiko vizuri ,matuta barabarani,speed governor kudhibiti speed ya aliyetengeneza bus na na Traffic police watakupiga mkono kila hatua chache kuhakikisha uendako hufiki on time kwa time uliyojipangia au ya abiria au mteja wa mzigo,Kuhakikisha your hurry is delayed !! Kwa matuta,speed governor au mkono wa Traffic
Nchi ukisikia haijaendelea Tatizo sio teknolojia tu kuna factors zingine hovyo kabisa ikiwemo vizuizi vya spidi kubwa vingi na Mikono ya traffic kila mwendo mfupi na matuta na abiria wasiojielewa kama wewe wasio na hurry in Africa
Afrika gari pekee zinazoenda mbio.za kufa mtu ni za maraisi tu