Hizo noah zina shida gani?,au unachuki binafsi.Kwa hiyo LATRA wamezidiwa akili na mkuu wa Mkoa moja tu kwa akili. Wenyewe wamekaa tu pfisini hawana ubunifu wowote. Siyo ifunjwe litaasisi ambalo halina kazi? Noah ziondolewe barabarani, huwezi kusafirisha abiria kM 150 kutumia Noah na abiria wamebanana, line ya abiria watatu wao wanalazimisha wanne hata huwezi kupumua vizuri. Nauli yao kubwa kishenzi, kwa mfano Arusha-Karatu KM140 nauli sh. 8,000/
Abiria waliopo hiyo njia ni wengi sana.kama noah zipo nyingi na zinapiga nenda rudi pamoja nakuwepo kwa hizo costa unadhani bila hizo noah hao abiria wangepanda nini?.Tuache siasa wakati tunajua bado nchi yetu haina uwiano sahihi wa huduma na idadi ya watu ukilinganisha na shughuli za kiuchumi.Mfano nilioutoa magari ni mengi tena sana. Arusha-Karatu kuna mabasi makubwa, kuna Coaster, kuna Hiace. Yapo mpaka mabasi ya kwenda Dar Es Salaam moja kwa moja.
Hiyo noah inajipakizisha yenyewe hao abiria?.hizi akili za hivi mnazitoa wapi?Noah inatakiwa kubeba watu 6 lakini inabeba mpk 14 how?
Wapige marufuku then Hao madereva akili itawakaa sawa Nini kifanyike siku wakiruhusiwa watakuwa na adabuHapo tatizo ni ni la gari au la dereva?.Kosa la dereva na abiria wenyewe wanaokubali kipakiwa hivyo alafu unapiga marufuku gari.inaingia akilini kweli.
Jembe,Kafulila jembe sio jembe
Ni balaa safari ya kasulu to makere utadhan mnaenda bukoba kwa speed wanazotembea nazoKigoma wapunguze speed Tu maana michomoko ya Kasulu- Mvugwe au daladala za Kasulu-Kibondo zinakimbia utadhani dreva ameitwa na shetani.
Kahama - Nyakanazi via runzewe asee hiace zinakimbia mpaka unatosha mwenyeweKigoma wapunguze speed Tu maana michomoko ya Kasulu- Mvugwe au daladala za Kasulu-Kibondo zinakimbia utadhani dreva ameitwa na shetani.
Maendeleo huja kwa kwenda mbio iwe magari au kutembea kwa miguuNi balaa safari ya kasulu to makere utadhan mnaenda bukoba kwa speed wanazotembea nazo
Wako sahihi kukimbia kuwaisha abiria na mizigoKahama - Nyakanazi via runzewe asee hiace zinakimbia mpaka unatosha mwenyewe
Ma dereva wa bariadi wastaarabu mno, barabara ndo mbovu kutoka mwigumbi hadi njia panda ya mwamapalalaMadereva wa Tanzania ni kama wana mapepo ya ajali.
Maana wanakimbiza magari mpaka unajiuliza kama bado wanataka kuendelea kuishi au la?
Hakuna maendeleo ya haraka kama maamuzi yako hayana uhusiano na jelaMaendeleo huja kwa kwenda mbio iwe magari au kutembea kwa miguu
Nchi zote zisizo na maendeleo watu wake hutembea Taratibu sana hata kwa miguu .Tanzania ikiwemo watu hutembea Taratibu utafikiri mwendo wa Twiga hata katikati ya mji au sokoni au sehemu za misongamano au wazi
Kigezo kimoja cha kupima maendeleo ni kasi ya watu kutembea kwa miguu au magari
Magari yanatakiwa yakimbie spidi hatari kuwaisha abiria na mizigo.Slow motion ni slow development.
Kujua nchi imeendelea au la angalia motion ya magari au watu
Ukiona slow motion au jam kibao hakuna maendeleo hapo
Nenda nchi zilizoendelea motion kali hatari na watu hutembea spidi kali hata kwa miguu
Tanzania hata ukitaka kwenda spidi matuta kibao barabarani,mo torch ya traffic kibao barabarani na hata bila torch unapigwa mkono na traffic polisi kila kona kila baada ya robo kilomita kukupunguzia spidi na kuwahi uendako.kuwahisha watu au mizigo!
Ndio maana ukatungwa msemo No hurry in Africa. Sababu hata uwe na kila kitu kiko vizuri ,matuta barabarani,speed governor kudhibiti speed ya aliyetengeneza bus na na Traffic police watakupiga mkono kila hatua chache kuhakikisha uendako hufiki on time kwa time uliyojipangia au ya abiria au mteja wa mzigo,Kuhakikisha your hurry is delayed !! Kwa matuta,speed governor au mkono wa Traffic
Nchi ukisikia haijaendelea Tatizo sio teknolojia tu kuna factors zingine hovyo kabisa ikiwemo vizuizi vya spidi kubwa vingi na Mikono ya traffic kila mwendo mfupi na matuta na abiria wasiojielewa kama wewe wasio na hurry in Africa
Afrika gari pekee zinazoenda mbio.za kufa mtu ni za maraisi tu
Sikupingi, basi waboreshe miundombinu kuwe na barabara ya magari yanayotembea speed kuanzia 80+Wako sahihi kukimbia kuwaisha abiria na mizigo
Mwendo goigoi hauleti maendeleo uwe wa gari au wa miguu
Kasi ya maendeleo ni pamoja na kutembea kwa kasi iwe kwa miguu au gari
Uwahi uendako iwe shamba sokoni ,mjini nk time is money
Uko sahihi nchi Haina uwiano wa huduma za magari ya abiria na idadi ya watu na shughuli za kiuchumiAbiria waliopo hiyo njia ni wengi sana.kama noah zipo nyingi na zinapiga nenda rudi pamoja nakuwepo kwa hizo costa unadhani bila hizo noah hao abiria wangepanda nini?.Tuache siasa wakati tunajua bado nchi yetu haina uwiano sahihi wa huduma na idadi ya watu ukilinganisha na shughuli za kiuchumi.
Hiyo barabara inaangusha michomoko tu?Ma dereva wa bariadi wastaarabu mno, barabara ndo mbovu kutoka mwigumbi hadi njia panda ya mwamapalala
Kwani mabasi hayapo?Atoe na suluhisho juu ya adha ya usafir
Si ndiyo hapoKwani mabasi hayapo?
Hiace haziko?