baadhi ya makosa.
kuanzia Km za baadhi ya maeneo na nauli
mf
Dodoma to iringa Km 1,107 nauli 80,000/= kwa daraja la kati.
dodoma to dar Km 80 nauli 5,000/=
dodoma moro Km 1,140 nauli 77,000/=
 
Tatizo sisi hatuna uthubutu Unga wa watz ila kiukweli viongozi wanatukosea Sana haifai Tena CCM kurudi madarakani mishahara mfano kima cha chini 310000 alipe kodi anasomesha nauli kwa mwezi pandisheni na mishahara
 
Tunakoelekea Nchi hii ni zaidi ya Gaza nauli ya Mwanza Dar elf 90 mama tafadhali kuwa na huruma tusemee wanyonge na Sasa hivi watu wengi tunasafiri kwa matatizo mfano misiba au Tiba please serikali mtuonee huruma wajameni hii sio sawa kabisa
 
.... Nilivyoona Dom-Moro Via Gairo elfu 56 daraja la kawaida kwa elfu 77 daraja la kati nikajua dishi lao limeyumba.
 
Sasa inakuwaje Dodoma Via Manyoni to Singida ni km 1268 halafu Dodoma via Manyoni,Singida to Mwanza 621km only????
 
Duh! Kweli namba inasomeka
 
Mafuta yalipanda bei ikafikaga 1ltr 3200 wakapandisha nauli, yakaja yakashuka bei nauli haikushuka.. hv karibun yamepanda tena kwa bei ile ile iliyopanda mwanzo 3200-3300tsh per ltr wanakuja kupandisha nauli tena.. sijui wametumia vigezo gan nadhan haikutakiwa kupanda kwasababu walishapandishaga nauli na hawakushusha nauli
.
 
Tena mbuzi ni afadhali huyo ni mende kabisaaaaa !!

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Tumeisha kigoma kasulu kilometa zote hizo pesa kibao hivo😂😂
 
Shida kubwa ni kuwa watunga sera na wafanya maamuzi wa nchi hii ni watu ambao wameshiba, hivyo hawamjui mwenye njaa.
Ni wabobevu wa kwenye makaratasi, utasikia wakijinasibu mimi ni mchumi na blah blah kibao, 😅 mchumi wa matako au uchumi wa nyoko, leteni sera nzuri zisizo za kinyonyaji na kandamizi kwa mtanzania wa hali ya chini kabisa.

#Enewei wale wenye wese la serikali waendelee kupiga misele ya kiafisa, wachumia tumbo tuendelee kuimba mapambio.
 
Mlisema hapendi wafanyabiashara na matajiri🤣 leo hii unamkumbuka tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…