johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Malizia kunywa huo mtori halafu tuainishie makosa ya hao Latra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba mama hajui kama nauli zinaingezwa?kwamba yeye ni mnyonge sana?daah kuelekea uchaguzi Serikali za mitaa ndio haya mambo yanaibuka! Kama vile Muvi za kumkwamisha Mama naona
Sasa inakuwaje Dodoma Via Manyoni to Singida ni km 1268 halafu Dodoma via Manyoni,Singida to Mwanza 621km only????Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Duh! Kweli namba inasomekaMamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Tena mbuzi ni afadhali huyo ni mende kabisaaaaa !!LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...www.jamiiforums.com
Nimesema kutoka Dodoma kupita Babati kwenda moshi hakuna Kms 1090 bali ni kms 502. Mbuzi wee
Tumeisha kigoma kasulu kilometa zote hizo pesa kibao hivo😂😂Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Mlisema hapendi wafanyabiashara na matajiri🤣 leo hii unamkumbuka tena?Serikali nayo iache upuuzi bhana.. hivi treni ya mwendokasi imeishia wapi?. Nauli imepandishwa mwaka jana mwezi aprili, leo tena nauli mnapandisha
. Hivi mnajua athari zake kiuchumi kweli?. Mama Samia usicheke na wafanyabiashara watakuharibia. Namkumbuka sana Magufuli kwa kweli.
Bora hata wewe unawaza chai, wengine wanawaza kama hata mlo mmoja wa siku hiyo watauona 😐Afadhal huyo ana mashahara wa laki saba, sasa sisi ambao mpaka unaamka haujui kama utakunywa chai ama la
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibu kama vile malalamiko yetu yanakugusa moja kwa mojaUshushe Bei ya mafuta unachimba wewe!?
Uanze kupanda treni sasa, bei chee.Ahsante kwa taarifa...