econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
wangenipandishia bei za Data tu ile niache upuuzi wa Kuomba connection za kina Giggy money..
Mfano Gb 1 iwe elfu kumi.. hahhahaha
Watapandisha tu muda sio mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wangenipandishia bei za Data tu ile niache upuuzi wa Kuomba connection za kina Giggy money..
Mfano Gb 1 iwe elfu kumi.. hahhahaha
Mama kashapandisha nauli mara mbili ndani ya miaka 2 ya utawala wake, chuma kilikaa na nauli miaka yote aliyokuwa madarakani.. Sekta ya usafirishaji huwa inaleta mfumuko mkubwa sana wa bei kwenye uchumi.
Ila kuna mahali wakisema bandari inauzwa .............Shida ya Rais wetu mambo yanatogusa wananchi moja kwa moja hana muda nayo.
Duh..Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Uelewa ni shida!!Pamoja na kutopanda, wafanyabiashara walinunua mabasi na malori mapya kwa mbwembwe..
Wamezingatia Mama anavyoupiga mwingiDuh..
Ni vigezo gani wamezingatia?
900 Itapendeza 😂Hapo kuna nauli wangefanya buku tu kabisa ili kupunguza usumbufu wa chenji.
Ujue hata hayo mabasi nayo humilikiwa na watu, si ya serikalilol...
Nchi isiyojua kupunguza Ukali wa Maisha.
Yenyewe imejikita kuongeza Gharama tu kila siku.
Kupanda kwa nauli ya daladala kunahusika vp na vitu?Huu ni ukandamizaji sana na utapelekea vitu vingi kupanda bei.
Nikajua mumeweka list ya Mikoa yote kumbe chenga tuu.Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini.
Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600. Kwa safari za kilometa 11 hadi 15 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 550 sasa itakuwa shilingi 700.
Kwa kilometa 15 hadi 20 ambapo nauli ilikuwa shilingi 600 sasa itakuwa 800 huku kwa safari za kilometa 21 hadi 25 nauli imetoka 700 hadi shilingi 900. Safari ya kilometa 26 hadi 30 nauli ni shilingi 1100, safari ya kilometa 31 hadi 35 ni shilingi 1300 na kilometa 36 hadi 40 nauli ni 1400.
Aidha nauli za wanafunzi zitaendelea kusalia 200 kwa safari za masafa mafupi.
Nauli za mabasi zimeorodheshwa kwenye jedwali hapa chini.
View attachment 2826735View attachment 2826734View attachment 2826733View attachment 2826732
Wale mnaojiandaa kusafiri disemba hii ,hii iwafikie kwamba nauli zimepanda Kwa mujibu wa LATRA
View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1729113014010269875?t=IMLqw9wQL5OHfpViwAXpew&s=19