Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Hawa ndiyo Mwalimu (RIP mzee wetu) aliwaitaga "malaya malaya".
 
Mbona hatusemi mama kapata kura 58%!!!then mnasema kapata 100%,,AU MNAFIKIRI HATUJUI?YAJAYO YANACHUKIZA NA KUFURAHISHA
 
Hata kama ni kweli ni jambo la jema kwa chama hasa ukiona mtu aliyepita hataweza mikimikiki, Kwa uchaguzi ule hivi Nyalandu angehimili unaenda ukerewe unafika sehemu ya kuvukia kivuko hakipo unapanda mtumbwi huyo angeweza unapita sehemu askari wanakupiga mabomu huyo angeweza au ndiyo angeishia kuunga juhudi

Anyway hata huko alipo sasa walifanya hivyo majimbo mengi walioshinda hawakuteuliwa kuwa wagombea ubunge
 
Huyo nyalandu mbona analeta mambo ya utawala wa shujaa yeye keshaunga juhudi atulie atambue kuwa SSH si sawa na jiwe ukiutukana upinzani unapewa cheo au uwaziri,Kama mwigulu ,silinde nk
 
Uchaguzi wa ndani ulikua Uchaguzi wa wazi, kwa vyoyote vila Nyalandu asingeweza kukaribia kwa namna yoyote ile kura alizopata Tundu Lissu Ndani ya Chama.
 
Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani Akirudi Zizini Wenzake Watajua Hana Mkia. πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜πŸ·
JPM
 
Amesitilika atulie ukishasaidiwa shida yako ikiisha usiyaanike mabaya ya utokapo zaidi unajiharibia tu na kutoaminika.
Angehama kimyakimya kama matured wengine
 
Aseme alikosa uongozi ndicho kilichomrudisha
 
Huyu Nyalandu alimkimbia jiwe! lililotaka kumsaga saga kwa kushiriki ujambazi wa mali asili zetu! CDM walikukaribisha kukuepusha na mkono wa jiwe ili akikufuata useme ni SIASA. Unatakiwa uwashukuru
Si hadi awe na akili hio.Mwanasiasa makini huwa Katu asemi mabaya ya alipohifadhiwa.
 
Chadema....! Ni kikundi kimoja hivi cha hovyo Sana!!
 
Huyu ndio wale Mwalimu Nyerere alisema "Wanatabia za Kimalaya malaya" yeye anafikiri Kila mmoja ni malaya malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…