Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wanakariri tuu basiKumbukumbu isiyofutika. Ukiwauliza huyo chaw* alifanya nn hawana majibu ya maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakariri tuu basiKumbukumbu isiyofutika. Ukiwauliza huyo chaw* alifanya nn hawana majibu ya maana
Hakuna mwenye akili timamu wakumkumbuka muuaji wa uhai na uhuru wa kujieleza na democracyHaya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.
Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet, kutumbuliwa, u-chadema, n.k). Na zaidi ya yote tunajua pia alitutoa kwenye “utumwa wa wanasiasa na viongozi wa serikali walafi na wauza nchi wasio na chembe ya kuwatumikia wananchi bali matumbo yao”. Kwa hiyo siasa Uchwara haziwezi kufuta Legacy ya Magufuri hata kama zikiongozwa na kigogo yupi kwa uwazi au kwa uficho.
Mbali na wananchi wachache waliomchukia kwa sababu za kisiasa au za binafsi, ndani ya CCM na serikali kumekuwa na majaribio yasiyofanikiwa ya Kumchafua “Hayati”. Nitaongelea Machache.
Report ya CAG – Iliwafanya watu wajulize wizi wa namna hii ulitokeaje chini ya Magufuli. Kinachoshangaza ni style ya kutoa hiyo report ilikuwa tofauti sana na siku za nyuma? Kabla Rais hajaiongelea na Bunge halijaijadili CAG “alipewa ruhusa ya kuichambua kwa kina kabisa” kitu ambacho sio kawaida uhuru huo kutokea. Bila shaka vigogo fulani kwa maslahi ya kisiasa walitaka kuonyesha JPM hakuwa such a great leader. Lakini ukweli unabaki kuwa report zote za nyuma JPM akiwa madarakani zilikuwa na mududu. Tofauti na sasa watu waliofanya madudu hayo walitumbuliwa immediately. Swali la msingi waliotaka JPM aonekane hafai walikuwa akina nani? Labda muhimu zaidi wasaidizi wa JPM (makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa TAMISEMI – aliyelaumwa sana wakati anaaapishwa na Magufuli, n.k) walikuwa wapi? Report hii haikufanikiwa kumchafua Magufuli bali wasaidizi wake kwa vile uongozi wa Magufuli dhidi ya Inneficiency na Corruption haukuwa na shaka.
Kelele za Bungeni – Baadhi ya makada na mawaziri wa zamani wa CCM waliotumbuliwa na JPM walijaribu kuchukua nafasi ya kifo cha JPM kuponda style yake ya uongozi na kujaribu kufuta legacy yake. Hakuna anayeweza kushangazwa nao kwa kutompenda Magufuli! Ni hulka ya mwanadamu kumchukia adui yako. Lakini swali muhimu hapa ni kuwa wapendwa hawa wa viongozi wa awamu zilizopita walitumwa na nani? Kwa nini wawe Cowards – kwa kutokuwa na ujasiri wa kupinga hayo yote wakati JPM akiwa hai? Inafurahisha kuwa bidii hizi hazikufika popote baada ya wabunge wenzao kuwapuuza na kufanya azimio la kupongeza legacy ya JPM.
Antony Dialo – Kama alivyosema Msukuma huyu “alitoa ushuzi chumbani na akajaribu kuuondoa kwa feni” kitu ambacho hakufanikiwa. Wote tunajua Diallo hakumpenda Magufuli kwa vile yeye na ‘matajiri wengi ndani ya CCM walipoteza influence kwa vile upiga deal uliisha Hata hivyo maneno yake makali sana tena yanayotolewa na kiongozi wa CCM wa Mkoa aliyekuwa chini ya uenyekiti wa JPM yanashangaza kiasi fulani? Sote tunajua wote walioteuliwa au/na kufanya kazi na JPM either “ALIWAAMINI” au “ALIWAPENDA”. Hakuwahi kuwa mnafiki. Diallo kuibuka leo na ‘literally’ kumtukana JPM ni ishara ya wazi “alitumwa”. Tunajua wote, huwezi kumsema kiongozi mstaafu au aliyetangulia (e.g. Nyerere au JMK) na wewe ni kiongozi wa chama ukabaki salama (ukaendelea na kazi za chama as if nothing happened). Sidhani kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM amekuwa so democratic kiasi cha kupuuzia mambo kama haya? Hata hivyo wananchi na wana CCM wa ngazi za chini wamekemea upuuzi huu na kukumbushia mazuri ya JPM. Jaribio hili pia limeshindwa.
Kauli ya Mtaka – Kauli hii inaonyesha mwendelezo wa kuwa-harass waliokuwa-waminifu wa JPM. Naogopa kulisemea sana suala hili! Lakini kila mwenye macho anajua hatima ya watu waliokuwa karibu na walioaminiwa sana na JPM! Viongozi hawa (except wachache kwa sababu "mseto"!) wanatafutiwa style ya kuondoka bila wenye mamlaka kuchafua mikono yao. Kumsema Waziri tena openly mbele ya watu haiwezi kuwa bahati mbaya au tabia tu ya Mkuu huyo wa Mkoa. Ni ajenda ya makusudi kuondoa “remnants” za Magufuli. Sijasikia kakemewa na viongozi wake! Legacy ya magufuli haiwezi kuisha kwa kuwanyanyasa ‘wapendwa’ wake. Legacy yake iko mioyoni mwa watu waliojaza barabara na Stadiums tokea Dar es Salaam mpaka Chato. Legacy yake haifutiki kirahisi hivyo.
Mimi naona haya yote ni Siasa Uchwara, Ni woga (Cowardice) kwa wanaofanya hivyo kwa kujua Mamilioni ya watanzania walimpenda sana JPM akiwa hai na leo wanamkumbuka katika mengi sana kuanzia kwenye approach ya Corona, Upiga deal serikalini unaorudi kwa kasi na Budget isiyojali machungu ya wananchi. Leo tunarudi kwenye nyakati za “Mpende msipende Ndege ya Rais itanunuliwa hataka kama mkila nyasi”. Kutulazimisha kulipa kodi kubwa sana ya Transactions za Simu na kusema kuwa hilo lazima litokee bila shakani kiburi cha viongozi wa siasa wanaojiona miungu watu. Legacy ya Magufuli ni kuondoa kiburi hiki cha viongozi na kuondoa mizigo ya kodi kwa wananchi kwa kutumia vizuri kodi inayokusanywa. Hapa tutamkumbuka kama alivyosema.
Nimalizie kwa kusema kuwa kama baadhi ya viongozi wetu, waliopita au wasasa (ambao wengi wao wako hapo walipo kwa sababu ya JPM) KAMA hawakumpenda kiongozi wao au waliona madhambi yake na wakaogopa kusema , wasijifiche nyuma ya migogongo ya wapinzani wa JPM bali watoke hadharani waseme madhambi yake. Kama hawahusiki waje hadharani wawakemee watu kama akina Diallo na akina Mtaka.
JPM ni kama maji, hutaki kuyaoga hutasita kuyanywa,Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.

Dikteta muuaji,Nani wakumkumbuka ,alidhulumu haki za watu za kuishi pamoja na BashiteBigbrotherrugambwa YOU NAILED IT .
Hakika legacy ya JPM haifutiki imechorwa kwa kalamu ya moto wabaya wake wangetafuta vitu vingine vya kufanya.
Magufuli anabaki kuwa ni Rais bora aliewahi kutokea Tanzania na kumpata mwingine ni baada ya miaka 50.
Dikteta milembeJPM ni kama maji, hutaki kuyaoga hutasita kuyanywa,
Hatuna desturi ya kuheshimu mda lakin mda hautasita kutumbusha
Upo milembe? Unafanyaje milembe asubui hiiDikteta milembe
Nakubaliana na wewe kwamba ni bonge la UZI but pale alipozungumzia issues za CAG nadhani kakosea, mwendazake hakua anaamini sana kwenye transparency; we all knows what happened kwa profesa Asadi. Tatizo la watu wengi hua ni hii, wanapenda kujadiri mabaya ya mtu fulani as if hakuwahi kufanya mazuri na wengine hupenda kujadiri mazuri tu ya mtu fulani bila kutaja mabaya yake, hapo ndio tunapotofautiana kibinadamu, mfano watu ambao walikua against na mwendazake ukiwatajia mazuri yake watakuita wewe ni SUKUMA Gang na ukiamua kueleza mabaya yake, unaonekana wewe ni mpinzani yaani Chadema, ni ujinga na upuuzi uliopitiliza. Nilimsikiliza mwenyekiti wa Chadema kwenye hotuba yake, alianza kueleza mazuri ya Magufuli then akaeleza mabaya yake. Hivi angekuwepo mwana ccm aliyefungiwa account zake zote (including account yake ya mshahara ) angeweza kutaja zuri hata moja la Magufuli? Tumemsikia hadi mwenyekiti wa ccm Mwanza, kaenda mbali zaidi wakati hakufungiwa account zake wala, kunyimwa tu matangazo ya biashara kwa TV yake karopoka vile, what if angefanyiwa nusu ya alichofanyiwa Mbowe?Bonge moja la uzi... tatizo humu robo tatu ya watu wote ni wale walioathiliwa na magu direct or indirect, hawa ni wale waliotumbuliwa, machadema na mianaharakati uchwara, matajiri wanyonyaji wa raia, wakwepakodi, nk!
walitafuta chaka lao ndo wakalipata huku... wataponda lakini ukweli ndo huo, wanaumia sana na huu ukweli wa kuona mtu kafa lakini bado anasifiwa km yupo hai vile
Nazipekua files za diktetaUpo milembe? Unafanyaje milembe asubui hii
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.
Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet, kutumbuliwa, u-chadema, n.k). Na zaidi ya yote tunajua pia alitutoa kwenye “utumwa wa wanasiasa na viongozi wa serikali walafi na wauza nchi wasio na chembe ya kuwatumikia wananchi bali matumbo yao”. Kwa hiyo siasa Uchwara haziwezi kufuta Legacy ya Magufuri hata kama zikiongozwa na kigogo yupi kwa uwazi au kwa uficho.
Mbali na wananchi wachache waliomchukia kwa sababu za kisiasa au za binafsi, ndani ya CCM na serikali kumekuwa na majaribio yasiyofanikiwa ya Kumchafua “Hayati”. Nitaongelea Machache.
Report ya CAG – Iliwafanya watu wajulize wizi wa namna hii ulitokeaje chini ya Magufuli. Kinachoshangaza ni style ya kutoa hiyo report ilikuwa tofauti sana na siku za nyuma? Kabla Rais hajaiongelea na Bunge halijaijadili CAG “alipewa ruhusa ya kuichambua kwa kina kabisa” kitu ambacho sio kawaida uhuru huo kutokea. Bila shaka vigogo fulani kwa maslahi ya kisiasa walitaka kuonyesha JPM hakuwa such a great leader. Lakini ukweli unabaki kuwa report zote za nyuma JPM akiwa madarakani zilikuwa na mududu. Tofauti na sasa watu waliofanya madudu hayo walitumbuliwa immediately. Swali la msingi waliotaka JPM aonekane hafai walikuwa akina nani? Labda muhimu zaidi wasaidizi wa JPM (makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa TAMISEMI – aliyelaumwa sana wakati anaaapishwa na Magufuli, n.k) walikuwa wapi? Report hii haikufanikiwa kumchafua Magufuli bali wasaidizi wake kwa vile uongozi wa Magufuli dhidi ya Inneficiency na Corruption haukuwa na shaka.
Kelele za Bungeni – Baadhi ya makada na mawaziri wa zamani wa CCM waliotumbuliwa na JPM walijaribu kuchukua nafasi ya kifo cha JPM kuponda style yake ya uongozi na kujaribu kufuta legacy yake. Hakuna anayeweza kushangazwa nao kwa kutompenda Magufuli! Ni hulka ya mwanadamu kumchukia adui yako. Lakini swali muhimu hapa ni kuwa wapendwa hawa wa viongozi wa awamu zilizopita walitumwa na nani? Kwa nini wawe Cowards – kwa kutokuwa na ujasiri wa kupinga hayo yote wakati JPM akiwa hai? Inafurahisha kuwa bidii hizi hazikufika popote baada ya wabunge wenzao kuwapuuza na kufanya azimio la kupongeza legacy ya JPM.
Antony Dialo – Kama alivyosema Msukuma huyu “alitoa ushuzi chumbani na akajaribu kuuondoa kwa feni” kitu ambacho hakufanikiwa. Wote tunajua Diallo hakumpenda Magufuli kwa vile yeye na ‘matajiri wengi ndani ya CCM walipoteza influence kwa vile upiga deal uliisha Hata hivyo maneno yake makali sana tena yanayotolewa na kiongozi wa CCM wa Mkoa aliyekuwa chini ya uenyekiti wa JPM yanashangaza kiasi fulani? Sote tunajua wote walioteuliwa au/na kufanya kazi na JPM either “ALIWAAMINI” au “ALIWAPENDA”. Hakuwahi kuwa mnafiki. Diallo kuibuka leo na ‘literally’ kumtukana JPM ni ishara ya wazi “alitumwa”. Tunajua wote, huwezi kumsema kiongozi mstaafu au aliyetangulia (e.g. Nyerere au JMK) na wewe ni kiongozi wa chama ukabaki salama (ukaendelea na kazi za chama as if nothing happened). Sidhani kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM amekuwa so democratic kiasi cha kupuuzia mambo kama haya? Hata hivyo wananchi na wana CCM wa ngazi za chini wamekemea upuuzi huu na kukumbushia mazuri ya JPM. Jaribio hili pia limeshindwa.
Kauli ya Mtaka – Kauli hii inaonyesha mwendelezo wa kuwa-harass waliokuwa-waminifu wa JPM. Naogopa kulisemea sana suala hili! Lakini kila mwenye macho anajua hatima ya watu waliokuwa karibu na walioaminiwa sana na JPM! Viongozi hawa (except wachache kwa sababu "mseto"!) wanatafutiwa style ya kuondoka bila wenye mamlaka kuchafua mikono yao. Kumsema Waziri tena openly mbele ya watu haiwezi kuwa bahati mbaya au tabia tu ya Mkuu huyo wa Mkoa. Ni ajenda ya makusudi kuondoa “remnants” za Magufuli. Sijasikia kakemewa na viongozi wake! Legacy ya magufuli haiwezi kuisha kwa kuwanyanyasa ‘wapendwa’ wake. Legacy yake iko mioyoni mwa watu waliojaza barabara na Stadiums tokea Dar es Salaam mpaka Chato. Legacy yake haifutiki kirahisi hivyo.
Mimi naona haya yote ni Siasa Uchwara, Ni woga (Cowardice) kwa wanaofanya hivyo kwa kujua Mamilioni ya watanzania walimpenda sana JPM akiwa hai na leo wanamkumbuka katika mengi sana kuanzia kwenye approach ya Corona, Upiga deal serikalini unaorudi kwa kasi na Budget isiyojali machungu ya wananchi. Leo tunarudi kwenye nyakati za “Mpende msipende Ndege ya Rais itanunuliwa hataka kama mkila nyasi”. Kutulazimisha kulipa kodi kubwa sana ya Transactions za Simu na kusema kuwa hilo lazima litokee bila shakani kiburi cha viongozi wa siasa wanaojiona miungu watu. Legacy ya Magufuli ni kuondoa kiburi hiki cha viongozi na kuondoa mizigo ya kodi kwa wananchi kwa kutumia vizuri kodi inayokusanywa. Hapa tutamkumbuka kama alivyosema.
Nimalizie kwa kusema kuwa kama baadhi ya viongozi wetu, waliopita au wasasa (ambao wengi wao wako hapo walipo kwa sababu ya JPM) KAMA hawakumpenda kiongozi wao au waliona madhambi yake na wakaogopa kusema , wasijifiche nyuma ya migogongo ya wapinzani wa JPM bali watoke hadharani waseme madhambi yake. Kama hawahusiki waje hadharani wawakemee watu kama akina Diallo na akina Mtaka.
Salaam!Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.

According to who?Magufuli remains to be the best president our country has ever had second to Mwl. Nyerere & Mkapa.
Mazuri hatatetewi wala hayachomi.yaani kuteseka na kulalama mpaka mishipa ya shingo inakusimama hakutaisha leo wala kesho... magu bado ana mengi mazuri ambayo yatakuchoma na kukucharanga wewe mpaka vitukuu vyako na hamtaweza kushinda kamwe... endelea tu kuteseka mzee
Sifa Apewe MUNGU kutuondolea Huyo MtuHaya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.

kwani nani anayatetea mazuri yake? yapo tu na wala hayaitaji mtetezi hata kwa miaka 100 ijayo ila isipokuwa nyie mnaomtwika matakataka yenu ya kuokoteza huko mnapiga kelele weee mpaka vichwa vinawauma na hakuna anayewasikiliza... hicho ndicho kinachowauma ninyi, maana mnajitahidi kufurukuta lakini waapi?Mazuri hatatetewi wala hayachomi.
Mazuri hujitetea.
Nimeishia hapo no 1! Tu nikaacha kusomaSalaam!
JPM alikuwa ni rais dhaifu kuliko marais wote waliowahi kutumika Tanzania kwa vigezo vifuatavyo:
1. Alikuwa ni mwoga sana - hii ni kutokana na kutokujiamini kiuongozi
2. Alikuwa mtu wa visasi - issue ya Yusuf Manji ni mfano wa mingi iliyokuwapo
3. Alikuwa anapenda misifa - at the expense of professionalism. Look at what the likes of Kabudi have turned out to be!
4. Alikuwa ni mbinafsi - sihitaji kurudia kwani sote tunajua yale mambo yake ya Chato
5. Kupenda sifa (rejea # 3) kuliruhusu wapambe kujineemesha - Kakoko, Bashite, Sabaya, nk
6. Alikuwa ni mjinga katika mambo mengi lakini hakurusu watu wamsaidie
7. Uadilifu wake ulikuwa wa mashaka - alihakikisha vyombo huru vyote anavidhibiti (bunge, judiciary, media, CAG). Alimshindwa CAG akafanya njama za kumwondoa kinyemela. Matokeo yake ni matumizi mengi kufanyika kiholela na bila kukaguliwa. No checks & balances!
8. Kutoka na woga wake (rejea # 1), alihakikisha wapinzani wake ndani na nje ya CCM wanadhibitiwa kwa namna YOYOTE. Hapa tuna:
- Lissu (story sote twaijua)
- viongozi wa upinzani wengine kama Mbowe (kesi za kubumba, nk) na Maalim Seif (kuivunjilia mbali CUF). Ninaamini hadi mauti yake, moja ya majuto yake makubwa ni kushindwa kuivunja Chadema pamoja na mbinu zote chafu zilizotumika
- ndani ya CCM kuna JK, Kinana, Makamba (Jr & Sr), Nape, Membe, nk
9. Kutokusema ukweli - mifano ipo mingi. Ndiyo maana Rais Samia ana struggle sana sasa hivi kwani amekumbana na REALITY.
10. Usahaulifu katika masuala mengi ya msingi - kiashiria kidogo ni kutamka (tena mara mbili mbili) kuwa eti siku ina masaa 24!
Hayo 10 hapo juu - kwa uchache - ndiyo MAGUFULI's LEGACY kama mimi ningeulizwa. Si ya kujivunia hata kidogo.
Madaraja, mabarabara, viwanda, nk hata wakoloni walijenga - hii siyo legacy bali ni wajibu wa serekali yoyote iliyo madarakani. In fact Mwalimu JKN (rip babu yetu) was the best performer kwenye masuala ya infrastructure and industrial upheaval nchini.
Wakatabahu!
...
Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua.
...