Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara
Vichaa wa kichaa Mkuu Shetani Magufuli bado wanashuta shuta tuu. Pumbavu.
Mfuateni Gambosh. Legacy yake ni wizi na uzinzi hata Mama Janet anajua.
 
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.

Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet, kutumbuliwa, u-chadema, n.k). Na zaidi ya yote tunajua pia alitutoa kwenye “utumwa wa wanasiasa na viongozi wa serikali walafi na wauza nchi wasio na chembe ya kuwatumikia wananchi bali matumbo yao”. Kwa hiyo siasa Uchwara haziwezi kufuta Legacy ya Magufuri hata kama zikiongozwa na kigogo yupi kwa uwazi au kwa uficho.

Mbali na wananchi wachache waliomchukia kwa sababu za kisiasa au za binafsi, ndani ya CCM na serikali kumekuwa na majaribio yasiyofanikiwa ya Kumchafua “Hayati”. Nitaongelea Machache.

Report ya CAG – Iliwafanya watu wajulize wizi wa namna hii ulitokeaje chini ya Magufuli. Kinachoshangaza ni style ya kutoa hiyo report ilikuwa tofauti sana na siku za nyuma? Kabla Rais hajaiongelea na Bunge halijaijadili CAG “alipewa ruhusa ya kuichambua kwa kina kabisa” kitu ambacho sio kawaida uhuru huo kutokea. Bila shaka vigogo fulani kwa maslahi ya kisiasa walitaka kuonyesha JPM hakuwa such a great leader. Lakini ukweli unabaki kuwa report zote za nyuma JPM akiwa madarakani zilikuwa na mududu. Tofauti na sasa watu waliofanya madudu hayo walitumbuliwa immediately. Swali la msingi waliotaka JPM aonekane hafai walikuwa akina nani? Labda muhimu zaidi wasaidizi wa JPM (makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa TAMISEMI – aliyelaumwa sana wakati anaaapishwa na Magufuli, n.k) walikuwa wapi? Report hii haikufanikiwa kumchafua Magufuli bali wasaidizi wake kwa vile uongozi wa Magufuli dhidi ya Inneficiency na Corruption haukuwa na shaka.

Kelele za Bungeni – Baadhi ya makada na mawaziri wa zamani wa CCM waliotumbuliwa na JPM walijaribu kuchukua nafasi ya kifo cha JPM kuponda style yake ya uongozi na kujaribu kufuta legacy yake. Hakuna anayeweza kushangazwa nao kwa kutompenda Magufuli! Ni hulka ya mwanadamu kumchukia adui yako. Lakini swali muhimu hapa ni kuwa wapendwa hawa wa viongozi wa awamu zilizopita walitumwa na nani? Kwa nini wawe Cowards – kwa kutokuwa na ujasiri wa kupinga hayo yote wakati JPM akiwa hai? Inafurahisha kuwa bidii hizi hazikufika popote baada ya wabunge wenzao kuwapuuza na kufanya azimio la kupongeza legacy ya JPM.

Antony Dialo – Kama alivyosema Msukuma huyu “alitoa ushuzi chumbani na akajaribu kuuondoa kwa feni” kitu ambacho hakufanikiwa. Wote tunajua Diallo hakumpenda Magufuli kwa vile yeye na ‘matajiri wengi ndani ya CCM walipoteza influence kwa vile upiga deal uliisha Hata hivyo maneno yake makali sana tena yanayotolewa na kiongozi wa CCM wa Mkoa aliyekuwa chini ya uenyekiti wa JPM yanashangaza kiasi fulani? Sote tunajua wote walioteuliwa au/na kufanya kazi na JPM either “ALIWAAMINI” au “ALIWAPENDA”. Hakuwahi kuwa mnafiki. Diallo kuibuka leo na ‘literally’ kumtukana JPM ni ishara ya wazi “alitumwa”. Tunajua wote, huwezi kumsema kiongozi mstaafu au aliyetangulia (e.g. Nyerere au JMK) na wewe ni kiongozi wa chama ukabaki salama (ukaendelea na kazi za chama as if nothing happened). Sidhani kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM amekuwa so democratic kiasi cha kupuuzia mambo kama haya? Hata hivyo wananchi na wana CCM wa ngazi za chini wamekemea upuuzi huu na kukumbushia mazuri ya JPM. Jaribio hili pia limeshindwa.

Kauli ya Mtaka – Kauli hii inaonyesha mwendelezo wa kuwa-harass waliokuwa-waminifu wa JPM. Naogopa kulisemea sana suala hili! Lakini kila mwenye macho anajua hatima ya watu waliokuwa karibu na walioaminiwa sana na JPM! Viongozi hawa (except wachache kwa sababu "mseto"!) wanatafutiwa style ya kuondoka bila wenye mamlaka kuchafua mikono yao. Kumsema Waziri tena openly mbele ya watu haiwezi kuwa bahati mbaya au tabia tu ya Mkuu huyo wa Mkoa. Ni ajenda ya makusudi kuondoa “remnants” za Magufuli. Sijasikia kakemewa na viongozi wake! Legacy ya magufuli haiwezi kuisha kwa kuwanyanyasa ‘wapendwa’ wake. Legacy yake iko mioyoni mwa watu waliojaza barabara na Stadiums tokea Dar es Salaam mpaka Chato. Legacy yake haifutiki kirahisi hivyo.

Mimi naona haya yote ni Siasa Uchwara, Ni woga (Cowardice) kwa wanaofanya hivyo kwa kujua Mamilioni ya watanzania walimpenda sana JPM akiwa hai na leo wanamkumbuka katika mengi sana kuanzia kwenye approach ya Corona, Upiga deal serikalini unaorudi kwa kasi na Budget isiyojali machungu ya wananchi. Leo tunarudi kwenye nyakati za “Mpende msipende Ndege ya Rais itanunuliwa hataka kama mkila nyasi”. Kutulazimisha kulipa kodi kubwa sana ya Transactions za Simu na kusema kuwa hilo lazima litokee bila shakani kiburi cha viongozi wa siasa wanaojiona miungu watu. Legacy ya Magufuli ni kuondoa kiburi hiki cha viongozi na kuondoa mizigo ya kodi kwa wananchi kwa kutumia vizuri kodi inayokusanywa. Hapa tutamkumbuka kama alivyosema.

Nimalizie kwa kusema kuwa kama baadhi ya viongozi wetu, waliopita au wasasa (ambao wengi wao wako hapo walipo kwa sababu ya JPM) KAMA hawakumpenda kiongozi wao au waliona madhambi yake na wakaogopa kusema , wasijifiche nyuma ya migogongo ya wapinzani wa JPM bali watoke hadharani waseme madhambi yake. Kama hawahusiki waje hadharani wawakemee watu kama akina Diallo na akina Mtaka.
Legacy ya ujambazi wa magufuli itadumu sana.Ameumiza watu wengi.
 
Salaam!

JPM alikuwa ni rais dhaifu kuliko marais wote waliowahi kutumika Tanzania kwa vigezo vifuatavyo:
...
Madaraja, mabarabara, viwanda, nk hata wakoloni walijenga - hii siyo legacy bali ni wajibu wa serekali yoyote iliyo madarakani. In fact Mwalimu JKN (rip babu yetu) was the best performer kwenye masuala ya infrastructure and industrial upheaval nchini.

Wakatabahu!

Nyuma ya hoja zako ni dhahiri umelishwa matango pori na Wanasiasa Uchwara wenye uchu wa madaraka.

Hitimisho lako (rangi nyekundu) linadhirisha kuwa wewe, kama ni mwanasiasa, au unawawakilisha hao Wanasiasa Uchwara, kwa pamoja hamjui mahitaji ya Watanzania.

Ushahidi: Tangu demokrasia ya vyama vingi vya siasa ianze, viongozi wa vyama vya upinzani hawajaonesha uwezo wa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi hii. Maeneo waliyofanikiwa kuongoza (Udiwani, Majimbo na Halmashauri) hawana la msingi walilolifanya la kukumbukwa. Tunachoshuhudia ni hoja zao za kudai demokrasia wasio iishi kwenye vyama vyao, haki pasipo kuwajibika na uhuru usio na mipaka.
 
Yeye mwenyewe ndo muasisi wa siasa uchwara. Lilishindwa kabisa kudeliver
 
Kuna wajinga wanamchukia Magu bila sababu, hawa ni wengi sana

Wanasema Magu alikua dikteta huku wanasubiri SGR kwa hamu,

Magu alikua dikteta huku wanausubiri umeme wa Rufiji Dam

Magu alikua hatupendi huku wanasubiri kuvuka kwenye daraja la kisasa la wami

Magu alikua dikteta huku wanalialia na makato ya miamala ya simu

Magu alikua hatupendi huku anasafiri kwa treni kwa mala ya kwanza kwenda arusha na moshi

Hapa utagundua wengi wa wanaomchukia Magu, wana shida ya kisaikolojia.
 
Magufuli kawa kama mkaa, ujutaja kujishughulisha naye kwa uchafu nawewe unachafuka, ukitaka kumchukulia poa ankuunguza.

Pumzika salama baharia wa kweli.
 
Nyuma ya hoja zako ni dhahiri umelishwa matango pori na Wanasiasa Uchwara wenye uchu wa madaraka.

Hitimisho lako (rangi nyekundu) linadhirisha kuwa wewe, kama ni mwanasiasa, au unawawakilisha hao Wanasiasa Uchwara, kwa pamoja hamjui mahitaji ya Watanzania.

Ushahidi: Tangu demokrasia ya vyama vingi vya siasa ianze, viongozi wa vyama vya upinzani hawajaonesha uwezo wa kukabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi hii. Maeneo waliyofanikiwa kuongoza (Udiwani, Majimbo na Halmashauri) hawana la msingi walilolifanya la kukumbukwa. Tunachoshuhudia ni hoja zao za kudai demokrasia wasio iishi kwenye vyama vyao, haki pasipo kuwajibika na uhuru usio na mipaka.
Kama unazungumzia (UCHU WA MADARAKA)
Vipi Yule alieamua kupora uchaguzi jumla jumla ?!. Huyo hakuwa na UCHU !!

Maghufuli alikuwa kiongozi muoga na mbovu kuwahi kutokea Tz . Kiongozi mzuri hawezi kudharau katiba ya nchi.
 
yaani kuteseka na kulalama mpaka mishipa ya shingo inakusimama hakutaisha leo wala kesho... magu bado ana mengi mazuri ambayo yatakuchoma na kukucharanga wewe mpaka vitukuu vyako na hamtaweza kushinda kamwe... endelea tu kuteseka mzee
Kodi yangu ndo iliyofanya kazi,sishindani na marehemu wala siteswi na marehemu
 
Kama unazungumzia (UCHU WA MADARAKA)
Vipi Yule alieamua kupora uchaguzi jumla jumla ?!. Huyo hakuwa na UCHU !!

Maghufuli alikuwa kiongozi muoga na mbovu kuwahi kutokea Tz . Kiongozi mzuri hawezi kudharau katiba ya nchi.
Hoja yako ya "kupora uchaguzi" ingekuwa na uzito kama ungeithibitisha kwa takwimu za kesi zilizofunguliwa mahakamani, hasa baada ya kile kinachoaminika kuwa Serikali ya Mama SSH ni ya utawala wa sheria km kufutwa kwa baadhi ya kesi.
 
Kodi yangu ndo iliyofanya kazi,sishindani na marehemu wala siteswi na marehemu
hahahaaaah! sasa mbona unaumia watu wakimsifia kama hakutesi? pambana na hali yako mzee... kivuli chake kina miaka zaidi ya 100 ya kuendelea kukukunja na kukucharanga mpaka kakitukuu kako!!! na bdo kuna kodi ya uzalendo nayo lazima ikuumize zaidi pale watakaposema mama samia kajenga!
 
🚮🚮
 
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.

Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet, kutumbuliwa, u-chadema, n.k). Na zaidi ya yote tunajua pia alitutoa kwenye “utumwa wa wanasiasa na viongozi wa serikali walafi na wauza nchi wasio na chembe ya kuwatumikia wananchi bali matumbo yao”. Kwa hiyo siasa Uchwara haziwezi kufuta Legacy ya Magufuri hata kama zikiongozwa na kigogo yupi kwa uwazi au kwa uficho.

Mbali na wananchi wachache waliomchukia kwa sababu za kisiasa au za binafsi, ndani ya CCM na serikali kumekuwa na majaribio yasiyofanikiwa ya Kumchafua “Hayati”. Nitaongelea Machache.

Report ya CAG – Iliwafanya watu wajulize wizi wa namna hii ulitokeaje chini ya Magufuli. Kinachoshangaza ni style ya kutoa hiyo report ilikuwa tofauti sana na siku za nyuma? Kabla Rais hajaiongelea na Bunge halijaijadili CAG “alipewa ruhusa ya kuichambua kwa kina kabisa” kitu ambacho sio kawaida uhuru huo kutokea. Bila shaka vigogo fulani kwa maslahi ya kisiasa walitaka kuonyesha JPM hakuwa such a great leader. Lakini ukweli unabaki kuwa report zote za nyuma JPM akiwa madarakani zilikuwa na mududu. Tofauti na sasa watu waliofanya madudu hayo walitumbuliwa immediately. Swali la msingi waliotaka JPM aonekane hafai walikuwa akina nani? Labda muhimu zaidi wasaidizi wa JPM (makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa TAMISEMI – aliyelaumwa sana wakati anaaapishwa na Magufuli, n.k) walikuwa wapi? Report hii haikufanikiwa kumchafua Magufuli bali wasaidizi wake kwa vile uongozi wa Magufuli dhidi ya Inneficiency na Corruption haukuwa na shaka.

Kelele za Bungeni – Baadhi ya makada na mawaziri wa zamani wa CCM waliotumbuliwa na JPM walijaribu kuchukua nafasi ya kifo cha JPM kuponda style yake ya uongozi na kujaribu kufuta legacy yake. Hakuna anayeweza kushangazwa nao kwa kutompenda Magufuli! Ni hulka ya mwanadamu kumchukia adui yako. Lakini swali muhimu hapa ni kuwa wapendwa hawa wa viongozi wa awamu zilizopita walitumwa na nani? Kwa nini wawe Cowards – kwa kutokuwa na ujasiri wa kupinga hayo yote wakati JPM akiwa hai? Inafurahisha kuwa bidii hizi hazikufika popote baada ya wabunge wenzao kuwapuuza na kufanya azimio la kupongeza legacy ya JPM.

Antony Dialo – Kama alivyosema Msukuma huyu “alitoa ushuzi chumbani na akajaribu kuuondoa kwa feni” kitu ambacho hakufanikiwa. Wote tunajua Diallo hakumpenda Magufuli kwa vile yeye na ‘matajiri wengi ndani ya CCM walipoteza influence kwa vile upiga deal uliisha Hata hivyo maneno yake makali sana tena yanayotolewa na kiongozi wa CCM wa Mkoa aliyekuwa chini ya uenyekiti wa JPM yanashangaza kiasi fulani? Sote tunajua wote walioteuliwa au/na kufanya kazi na JPM either “ALIWAAMINI” au “ALIWAPENDA”. Hakuwahi kuwa mnafiki. Diallo kuibuka leo na ‘literally’ kumtukana JPM ni ishara ya wazi “alitumwa”. Tunajua wote, huwezi kumsema kiongozi mstaafu au aliyetangulia (e.g. Nyerere au JMK) na wewe ni kiongozi wa chama ukabaki salama (ukaendelea na kazi za chama as if nothing happened). Sidhani kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM amekuwa so democratic kiasi cha kupuuzia mambo kama haya? Hata hivyo wananchi na wana CCM wa ngazi za chini wamekemea upuuzi huu na kukumbushia mazuri ya JPM. Jaribio hili pia limeshindwa.

Kauli ya Mtaka – Kauli hii inaonyesha mwendelezo wa kuwa-harass waliokuwa-waminifu wa JPM. Naogopa kulisemea sana suala hili! Lakini kila mwenye macho anajua hatima ya watu waliokuwa karibu na walioaminiwa sana na JPM! Viongozi hawa (except wachache kwa sababu "mseto"!) wanatafutiwa style ya kuondoka bila wenye mamlaka kuchafua mikono yao. Kumsema Waziri tena openly mbele ya watu haiwezi kuwa bahati mbaya au tabia tu ya Mkuu huyo wa Mkoa. Ni ajenda ya makusudi kuondoa “remnants” za Magufuli. Sijasikia kakemewa na viongozi wake! Legacy ya magufuli haiwezi kuisha kwa kuwanyanyasa ‘wapendwa’ wake. Legacy yake iko mioyoni mwa watu waliojaza barabara na Stadiums tokea Dar es Salaam mpaka Chato. Legacy yake haifutiki kirahisi hivyo.

Mimi naona haya yote ni Siasa Uchwara, Ni woga (Cowardice) kwa wanaofanya hivyo kwa kujua Mamilioni ya watanzania walimpenda sana JPM akiwa hai na leo wanamkumbuka katika mengi sana kuanzia kwenye approach ya Corona, Upiga deal serikalini unaorudi kwa kasi na Budget isiyojali machungu ya wananchi. Leo tunarudi kwenye nyakati za “Mpende msipende Ndege ya Rais itanunuliwa hataka kama mkila nyasi”. Kutulazimisha kulipa kodi kubwa sana ya Transactions za Simu na kusema kuwa hilo lazima litokee bila shakani kiburi cha viongozi wa siasa wanaojiona miungu watu. Legacy ya Magufuli ni kuondoa kiburi hiki cha viongozi na kuondoa mizigo ya kodi kwa wananchi kwa kutumia vizuri kodi inayokusanywa. Hapa tutamkumbuka kama alivyosema.

Nimalizie kwa kusema kuwa kama baadhi ya viongozi wetu, waliopita au wasasa (ambao wengi wao wako hapo walipo kwa sababu ya JPM) KAMA hawakumpenda kiongozi wao au waliona madhambi yake na wakaogopa kusema , wasijifiche nyuma ya migogongo ya wapinzani wa JPM bali watoke hadharani waseme madhambi yake. Kama hawahusiki waje hadharani wawakemee watu kama akina Diallo na akina Mtaka.
Doh! Sijui nikuambie pole au hongera?
 
Ninyi kuponda mh hayati Magufuli ni sawa, lakini wanaomsifia na kumkubali hawapo sawa!!!
Badilikeni na anzeni kukubali kuwa, kama vile ninyi ambavyo hamkumpenda, basi wapo mamilioni katika ile milioni 60 ya watanzania ambao wanamzimia na bado wanaomboleza.

Ninyi pondeni, ruksa, lakini muwe na vifua pia vya kusikia na kusoma mapambio juu ya mh hayati Jiwe.
Nyuma ya chuki yao dhidi yake wanamkubali sana tena sana kwa uthubutu wake katika kuinua uchumi wa nchi hasa kwa miundombinu, huduma za jamii na miradi ya kimkakati.
 
Back
Top Bottom