Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

"Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo" mbona hata wezi na makahaba wanaendesha familia zao, nao tuwapongeze!
Unaweza tuonyesha hao wezi na makahaba ambao wanalipa na Leseni?
Mtakutano na hili kwenye uchaguzi Wala msiwaze,wait
 
Unaweza tuonyesha hao wezi na makahaba ambao wanalipa na Leseni?
Mtakutano na hili kwenye uchaguzi Wala msiwaze,wait
Kulipa leseni hakukufanyi usiwe mwizi, wapo wafanyabiashara ambao wamewahi kukamatwa kwa ujambazi na baadhi ya nchi makahaba wa leseni japo ni kazi ya laana.
 
Laana watu Wanajenga wana maisha angetafuta namna nzuri ya kuongea aheshimu ajira za watu huyo kijana
Anajua laana ni Nini aende zake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watu tumejenga na tunawakula wake za watu na degree zao za udsm kiulaini kabisa. Hamna kazi nzuri kama ya bodaboda especially ikiwa yako. Mbususu nje nje
 
Laana ni ujambaz wa kutumia mitutu kuiba magari ambao Lema alifanya.
 
Lakini bila hao bodaboda kupewa 10000 na mafuta hiyo shughuli isingenoga kamwe
 
pumbavu ni wewe,
na huyo lema hana akili kama wewe coconut head kabisa
 
Sawa lema kuna mahali bodaboda anaingiza 40000 kwa siku .amenunua kiwanja amejenga .huta ukimpa hiyo ajira hawezi kukubali
 
Lema Yuko sahihi.

AJALI za barabarani zinaua vijana wengi nchini kuliko UGONJWA wowote.
Ajali ni nyingi ni kwa wale walevi mtu anaendeamsha boda boda huku ameshika bia mkononi na kubinua tairi za mbele kwa sifa unategemea nini
 
Ndio ushangae sasa tanzania tuna watu wenye vituko halafu unakutu keshokutwa bodaboda huyo na bendera ya chaderma acha awatukane mpaka wakome
 
Ajali ni nyingi ni kwa wale walevi mtu anaendeamsha boda boda huku ameshika bia mkononi na kubinua tairi za mbele kwa sifa unategemea nini
No ni wengi wa boda, bodi ya boda ni mwili wake.

Mungu awaepushe boda na AJALI na awape KAZI zingine Ili kupata kipato.
 
Sio boda boda tu bali maisha ya kutumia pikipiki kama chombo chako cha usafiri kila siku ni risk na huwezi kifikisha miaka 50 ukiwa mzima Wa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…