Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Kazi nyingine kama zipi?
Mali hupatikana shambani.

Vijana wanalikimbia Jembe la mkono sababu hatujawekeza vya kutosha ktk Teknolojia kukifanya KILIMO Kwa weledi.

Seriousness ya Serikali ktk kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa, kutasaidia vijana wayakimbie majiji na kurudi shambani.
 
Punguza matusi na ujenge hoja, kwahiyo wewe unadhani bodaboda woote wamesoma?, na kwamba wasomi woote lazima waajiriwe?, au usafiri na usafirishaji sio sehemu ya ajira?, hivi tunapozungumzia makampuni Kama ya "Uber" yanatofauti gani na bodaboda na bajaji?, Ulitaka "Taxi" zote ziwe ni gari hadi vijijini?.
Pikipiki ni hatari sana, haipaswi kuwa usafiri wa binadamu, labda kwa dharura tu.
 
Hello!

Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana.

Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?

Nyie wafuasi wa CHADEMA mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?

Ujinga kama huu wa CHADEMA ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kenya badala yake hakuna cha maana anafanya; ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha yako juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba misaada ya chakula hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk.

Ujinga kama huu wa upinzani ulifanyika hata Malawi, kawaulize Wamalawi kama kuna nafuu wamepata, the likes ya Zambia.

Ukiwasikiliza CHADEMA huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watanzania kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.

Toka nimeanza kuwasikiliza CHADEMA zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya, maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini.

Mwisho, ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza CHADEMA unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watanzania bila suluhisho.

Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.

Sasa hao CCM wenye strategy wamefanya nini cha maana kwa hiyo miaka 60!? Kama unaona bodaboda ni kazi ya maana basi kuna tatizo.

Ni nini cha zaidi tunachokifanya kuliko Zambia na Malawi!!?
 
Tuletee na idadi ya wanaokatwa miguu Muhimbili kati ya bodaboda na walimu kila mwezi pia.
Bodaboda aliyemazingira mazuri anaingiza kama 970000 kwa mwezi huwezi linganisha na mshahara wa 370000 kwa mwalimu wa primary
 
Mali hupatikana shambani.

Vijana wanalikimbia Jembe la mkono sababu hatujawekeza vya kutosha ktk Teknolojia kukifanya KILIMO Kwa weledi.

Seriousness ya Serikali ktk kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa, kutadaidia vijana wayakimbie majiji na kurudi shambani.
Usilazimishe kila mtu afanye kazi unayotaka hata hiyo ya kilimo pia ina risk nyingi na inatumia energy kubwa Sana mkuu usitumie nafasi yako vibaya kutetea kauli ya kijinga ya lema ya kusema bodaboda ni kazi ya laana kwasababu ya ushabiki wako wa kisiasa lema amekosea Sana kwasababu kazi ya bodaboda haivunji sheria za nchi wala hakuna sehemu kwenye maandiko ya Mungu iwe Quran au Bible imesema ni kazi ambayo haruhusiwi kufanywa. Kazi yoyote ambayo haivushi sheria ya nchi hiyo inahesabiwa ni kazi Cha msingi ufanye kwabidii na kwaujuzi utafanikiwa tu mbona wapo bodaboda wametoboa
 
Sasa hao CCM wenye strategy wamefanya nini cha maana kwa hiyo miaka 60!? Kama unaona bodaboda ni kazi ya maana basi kuna tatizo.

Ni nini cha zaidi tunachokifanya kuliko Zambia na Malawi!!?
Kwani hukioni hicho Cha maana? Tafsiro Yako ya Cha maana ni ipi kwani tukusaidie?
 
Usilazimishe kila mtu afanye kazi unayotaka hata hiyo ya kilimo pia ina risk nyingi na inatumia energy kubwa Sana mkuu usitumie nafasi yako vibaya kutetea kauli ya kijinga ya lema ya kusema bodaboda ni kazi ya laana kwasababu ya ushabiki wako wa kisiasa lema amekosea Sana kwasababu kazi ya bodaboda haivunji sheria za nchi wala hakuna sehemu kwenye maandiko ya Mungu iwe Quran au Bible imesema ni kazi ambayo haruhusiwi kufanywa. Kazi yoyote ambayo haivushi sheria ya nchi hiyo inahesabiwa ni kazi Cha msingi ufanye kwabidii na kwaujuzi utafanikiwa tu mbona wapo bodaboda wametoboa
Narudia tena,

Pikipiki ya matairi mawili haipasi kupakiwa abiria kibiashara.

Wewe Si bodaboda ni Mwanasiasa. Serikali Ina wajibu wa kuhakikisha inawasaidia bodaboda wapate ajira nyinfine yenye kulinda uhai wao.

KILIMO ni uwekezaji mkubwa, Marekani Kwa mfano, imewawezesha wananchi wake matajiri wakubwa kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa.

Matajiri wa ndani wakiwezeshwa kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa, watatoa ajira Kwa vijana wengi wakiwamo boda.

Sishauri wafukuzwe boda Kwa sasa HAPANA, Serikali Ione haja ya kuwahamisha kimkakati kwenda ktk ajira salama zaidi.

Serikali ipunguze matumizi ya kununua V8 nk, iwasaidie matajiri wa ndani kukopa na kuwekeza ktk KILIMO kuajiri vijana ajira salama.

Lema Yuko sahihi kabisa.

Mm nimepoteza ndugu na jamaa wengi Kwa AJALI za bodaboda.
 
Narudia tena,

Pikipiki ya matairi mawili haipasi kupakiwa abiria kibiashara.

Wewe Si bodaboda ni Mwanasiasa. Serikali Ina wajibu wa kuhakikisha inawasaidia bodaboda wapate ajira nyinfine yenye kulinda uhai wao.

KILIMO ni uwekezaji mkubwa, Marekani Kwa mfano, imewawezesha wananchi wake matajiri wakubwa kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa.

Matajiri wa ndani wakiwezeshwa kuwekeza ktk KILIMO Cha kisasa, watatoka ajira Kwa vijana wengi wakiwa boda.

Sishauri wafukuzwe boda Kwa sasa HAPANA, Serikali Ione haja ya kuwahamisha kimkakati kwenda ktk ajira salama zaidi.

Serikali ipunguze matumizi ya kununua V8 nk, iwasaidie matajiri wa ndani kukopa na kuwekeza ktk KILIMO kuajiri vijana ajira salama.

Lema Yuko sahihi kabisa. Mm nimepoteza ndugu na jamaa wengi Kwa AJALI za bodaboda.
Kwa nini isipakie watu kibiashara?
 
Hata Yeye Asingekua mlaghai Akapata Ubunge Angekua Dereva Boda boda. Tatizo la Watu kama lema ni Kuona watu wote ni wajinga na wao ndio wenye Akili.

Hiki chama cha chadema ni genge la wahuni na wanatafuta madaraka wakaji Neemeshe wao na familia zao.

MTU kama Magufuli Kupatikana tena Tanzania itatugharimu miaka mingi sana kupata kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na watanzania maskini, hawa wengine ni vibarakatu.
 
Kwa nini isipakie watu kibiashara?
Marekani ni Rahisi kupata leseni ya kuendesha gari kuliko kuendesha Pkpk ya tairi mbili,

SABABU kuu ni Motorcycle ina RISK kubwa kuliko gari.

Canada au USA Kuna biashara ya boda? unajua haipo bt mnatetea ujinga wa CCM.

Lema is right.
 
Marekani ni Rahisi kupata leseni ya kuendesha gari kuliko kuendesha Pkpk ya tairi mbili,

SABABU kuu ni Motorcycle ina RISK kubwa kuliko gari.

Canada au USA Kuna biashara ya boda, unajua haipo bt mnatetea ujinga wa CCM.

Lema is right.
Tanzania ni Marekani au Canada? Acheni ujinga wa kuiga na kukariri wapuuzi nyie.
 
Back
Top Bottom