Mzee, wakristo tumefanya nini hadi utuunge kwenye ujinga wa chademachadema na wakristo hawaja wahi kueleweka kamwe.
Kwani uonngo? Nambie ni mtoto gani wa kiongozi anafanya kazi ya bodaboda? Wapeni vijana kazi za kufanya, si ujinga huu wa boda boda. Sidhani kama Lema kaishia hapo ametoa maelezo kwanini anasema ni laana! Bodaboda ni LAANA, mtoto wangu hapana!Hello!
Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..
Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..
Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.
Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?
Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..
Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..
Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.
Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..
Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..
Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398
hta mashoga wanajeenga kwa hela ya ushoga. laana haibadiliki kwa sababu unajenga na kulisha familia laana ni laana tu. Unaweza kumuua mama yako ukajenga na kulisha familia ila itabaki kuwa ni laanaLaana watu Wanajenga wana maisha angetafuta namna nzuri ya kuongea aheshimu ajira za watu huyo kijana
Anajua laana ni Nini aende zake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuambie pia kuhusu ujinga wa Ccm kwa Watanzania ukoje.Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..
mnasemaga yesu ni mungu.haiko sawa hii wakati inajulikana kuwa nibinadamu tuu.Mzee, wakristo tumefanya nini hadi utuunge kwenye ujinga wa chadema
Yaani unauliza swali kwenye uhalisia???Sisi wengine hatuishi kwa upepo wa viongozi bali tunaishi kwa Sera imara za nchi,mfano sera ya Ujamaa na Kujitegemea ni sera nzuri sana.Vile vile Tanzania kuwa nchi ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa vinavyoamini katika Demokrasia ya kweli na Ujamaa ni sera nzuri sana.Kivipi?
naomba kuuliza huu ujumbe unawahusu pia Bajaj na Waendesha Uber?Hello!
Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..
Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..
Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.
Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?
Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..
Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..
Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.
Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..
Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..
Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398
Kuzaliwa tu Tanzania tayari ni laana tosha mbona lema amewalipua hao boda boda bila sababu za msingi inasikitishaaHello!

Mungu akuhurumie kwa sababu huamini katika hilo na si lazima kukulazimisha ila kama unapenda kujifunza soma Yohane 1:1-2mnasemaga yesu ni mungu.haiko sawa hii wakati inajulikana kuwa nibinadamu tuu.
Sio kweli kwamba walikodiwa kumpokea.na wale watu waliojaza uwanja walikodiwa pia?Duh aiseee nandio waliokodiwa kwa wingi kwenda kumpokea
Hicho chama hakifai kupewa hatamu za nchi,watu hawajui hata waseme nini!?Hivi kuna maana gani kwa mhitimu wa chuo kikuu kurudi mtaani na kuwa bodaboda!
Ila wewe ndiye unayefaa hongera sana.Hicho chama hakifai kupewa hatamu za nchi,watu hawajui hata waseme nini!?
Ndio ni binadamu inajulikana hivo, sio kila mkristo anasema yesu ni Mungumnasemaga yesu ni mungu.haiko sawa hii wakati inajulikana kuwa nibinadamu tuu.
Vijana wanafanya bodaboda baada ya kukosa njia mbadala za kujitafutia vipato. USA, Canada, South Africa, Dubai kuna bodaboda? Hakuna, sababu ni kwamba kijana anapata ajira yenye staha, ya kufanya, na kipato cha kukidhi maisha yake.Hello!
Naona Lema ameanza Kwa gia ya matusi Kwa wanaojiita bodaboda..
Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana..
Hivi hizi si ni dharau Kwa Vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia Kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?.
Nyie Wafuasi wa Chadema mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?
Ujinga kama huu wa Chadema ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kunyaland badala yake hakuna Cha maana anafanya, ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha Yako Juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba Misaada ya Chakula Hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk..
Ujinga kama huu wa Upinzani ulifanyika hata Malawi kawaulize wamalawi kama Kuna nafuu Wamepata,the likes ya Zambia..
Ukiwasikiliza Chadema Huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watzn kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.
Toka nimeanza kuwasikiliza Chadema zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini..
Mwisho,ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza Chadema unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watzn bila suluhisho..
Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.View attachment 2534398
Hivi kuna maana gani kwa mhitimu wa chuo kikuu kurudi mtaani na kuwa bodaboda!