Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Yeye amewahi kuona wapi mzimu unaibwa?.Ibeni muone kama hamjafa ukoo wenu wote,dadeki![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda muwahonge wale field force wanaouzunguka.Tutauiba tu ngoja uje tarime
Wasingefanikiwa kwani kunakuwa na mwenge wa spea ndani ya mojawapo ya magari.Mwenge si mbaya bali ingafamyika mara Moja katika miaka mitanoView attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Wala siyo mwenge wa uhuru ni mwenge wa kupumbazaKuiba Mwenge wa Uhuru ni kuiponya nchi , ni baraka
Nabii anahimiza uwizi ,hakika jasiri haachi asiliView attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Lilaaniwe tumbo lilitoa huyu kiumbe LemaLibarikiwe tumbo lililomzaa Lema
Kwahiyo nayo hiyo ni ajenda ya Chadema? Hongereni!View attachment 2790193
Akizungumza kwenye Oparesheni 255 inayoendelea Kanda ya Nyasa , Nabii wa Mungu Godbless Lema, amedai kwamba ni aibu kubwa sana kwa Nchi hii leo kuendelea kukimbiza kibatari kinachowaka kinachoitwa Mwenge wa Uhuru.
Amesema kuna vijana Arusha walipanga kuuiba Mwenge huo ili kuutupa, lengo likiwa kuuondoa Nchini ili kuepusha Laana ya Mungu , Lakini kwa bahati mbaya zoezi hilo lilishindikana, jambo lililomsikitisha sana!
Mytake : Vijana wa Nchi hii hatimaye wameanza kujua anayewaloga , si siku nyingi zoezi hili litafanikiwa
Ndugu yanguView attachment 2790193

Eti nabii wa Mungu, Mungu yupi huyo. Au wewe ndo kama yeye na yeye kama wewe.
Kumuibia Shetani siyo kesiNabii anahimiza uwizi ,hakika jasiri haachi asili
Naunga mkono hojaNdugu yangu
Mwenge ni zindiko tena linaambatana na kafara za watu wasio na hatia.
Msimu wa kukimbiza mwenge kunakuwa na ongezeko la ajali zinazogharimu maisha ya watu.
Mwenge huu utupwe. Haufai hata kuweka Makumbusho
Hakuna ugaidi hapochadema na vitendo vya kigaidi hapana kwa kweli
Na lililokuzaaa wweLibarikiwe tumbo lililomzaa Lema
kwanza nikusalimu kwa jina la makonda...... turudi kwenye quote' ni ngumu sana kuliona hilo...japo kajidai kuishia kusema alisikitika nakufikiri hatujajua dhamira yake ya kuchochea vitendo vya kiuwalifu ili kuvuruga amani ya nchiHakuna ugaidi hapo
Anaonekana kwenye mpango wa kuuiba nae alikuwepo wakashindwa vijana ndio maana akasikitika ..ajiangalie kauli yake itamponzaLema atadakwa kwa kauli hii!
Lazima ataitwa kuhojiwa😁
Pamoja na kuwa hatukubaliani kwenye masuala mengi, kwa hili, naunga mkono. Badala ya kuuza sera za Chama chake, anafanya Hamasa za Kuiba Mwenge. Haya ndio aliyofundishwa na Masters wake Canada.Kweli CHADEMA ina viongozi wahuni wahuni tu wanaopanda majukwaani wakiwa wamelewa.hivi kweli mjumbe wa kamati kuu anaweza kuongea ujinga wa Namna hiyo kweli? Mambo hayo na ujinga huo ndio wa kuongelea jukwaani? Ndio sera za kukipa ushindi chama hizo? Ndio zinazoweza wafanya watu wakaacha vyama vyao wakajiunga na Sacco's ya Mwenye kigoda? Ndio anachohitaji kusikia Bibi wa kijijini anayekuja kwenye mikutano yenu? Ndio maono ya viongozi hayo? Ndio alichojifunza Canada hicho? Ndio utafiti uliofanywa na chama unajuwa ndio wana nyanda za juu kusini wanataka kusikia hicho?
Kwanini mnaendesha chama kihuni kiasi hicho? Kwanini hamtambui kuwa kuna vitu kiongozi mkubwa hapaswi kutamka au kutoa katika ulimi au mdomo wake? Kwanini mnashinda kuwa na viongozi wenye kuchuja maneno na kuwa na staha? Kwanini wote akili zenu zipo kama za mvuta bangi Mdude? Kwanini mnakifanya chama kuwa kama kusanyiko la wahuni ,vibaka,watu waliozibuka akili? Mnakwama wapi? Kwanini hamkui akili na bongo zenu?