Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

Kwan da Mange ye anasemaje๐Ÿค”
 
Of course kuna taratibu.

Na moja ya taratibu zake ni kuua watoto kwa kuwapiga risasi za kichwa.
Wewe ni mkongwe kwenye ili jukwaa lakini pia na uelewa kama ninavyokujua kwa humu tu. Sioni ni faida gani tunapata kwa kupotosha umma na kuleta matatizo. Je,ili ufanye maandamano nchini Tanzania hakuna utaratibu wa kufuata?
 
Huwezi kufanya maandamano just from the blue lazima kuwepo na justification. Kama October 29 kulikuwa na justification
Justification unatengeneza wewe au inabidi ufuate utaratibu mkuu? Naimbie kwamba watu wachome vituo vya kupigia kura,magari,mwendokasi,vituo vya polisi nk alafu majeshi yafanye kazi gani? Inabidi wakati mwingine tue wakweli kuhusu makosa yetu.
 
Je Katiba inaruhusu watu kutekwa?
Kutekwa ni jinai na inabidi lisitokee. Je,ili lisitokee nasisi CHADEMA inabidi tuchome vituo vya polisi,tuchukue bunduki,tuibe,tuchome mwendokasi na ofisi zetu za umma au nyuma za waliopo madarakani?
 
You're right, ukitazama vizuri hata viongozi wake wajuu kuna namna huwa anawakataa wakileta issue za uanaharakati, Lema ni type za kina Mbowe, simply ni wanasiasa.
Ile siku anagoma kumpa mkono Makonda kwenye msiba wa Lowassa kisha Mbowe akampa Makonda, alikuwa mwanasiasa ama mwanaharakati? Au unataka kumpamba maana kaanza kuanikwa udalali wake?
 
Kutekwa ni jinai na inabidi lisitokee. Je,ili lisitokee nasisi CHADEMA inabidi tuchome vituo vya polisi,tuchukue bunduki,tuibe,tuchome mwendokasi na ofisi zetu za umma au nyuma za waliopo madarakani?
Utekaji unapofanywa na serekali hiyo ndio njia serekali inaweza kusikia. Kwani ni mara ngapi wameonywa na wala hawakuacha?
 
Ile siku anagoma kumpa mkono Makonda kwenye msiba wa Lowassa kisha Mbowe akampa Makonda, alikuwa mwanasiasa ama mwanaharakati? Au unataka kumpamba maana kaanza kuanikwa udalali wake?
That was too personal.
 
Kaamua kusema ukweli, ipo siku mtaelewa kwamba mlichofanya na mnachofanya ni hovyo sana na hamuwezi kufanya huko mliko kwa sababu mtakuwa deported
 
Wewe ni mkongwe kwenye ili jukwaa lakini pia na uelewa kama ninavyokujua kwa humu tu. Sioni ni faida gani tunapata kwa kupotosha umma na kuleta matatizo. Je,ili ufanye maandamano nchini Tanzania hakuna utaratibu wa kufuata?
Nimeshakuambia kuwa moja ya taratibu zake ni kuua watoto kama hawa!

 
Tumezika picha- Solo thang
 
Nimeshakuambia kuwa moja ya taratibu zake ni kuua watoto kama hawa!

View attachment 3702810View attachment 3702811View attachment 3702812
Yote haya mlisababisha nyie ILA sasa mnajificha nyuma ya picha. Watoto wa watu mliwaingiza kwenye taflani mpaka wasihusika na ujinga huo wakapatwa na majanga. UKWELI NI KUA CHADEMA tupigwe ata marufuku kufanya siasa maana atutaki kuheshimu taratibu za nchi kila kitu tunataka kutumia nguvu na kinyume cha sheria. DAMU YA WATOTO ITAWALILIA MPAKA MWISHO NYIE WAPENDA FUJO.
 
Wa October hawakuandamana

Walifanya vurugu
 
Utekaji unapofanywa na serekali hiyo ndio njia serekali inaweza kusikia. Kwani ni mara ngapi wameonywa na wala hawakuacha?
Si kweli kua abduction zote ni serikali wanahusika.. Dr.Slaa aliwai kutuambia ilo. Lakini pis,ebu tuchukue mfano kua ambao awakuridhika na uchaguzi ndani ya CHADEMA wafanye vurugu,wapige washindi na washirki unafikiri ingekuaje? TUSIJENGE TAIFA LENYE FIKRA ZA KUUMIZANA KWENYE TAIFA LETU
 
Ni wapi nimesema utekaji wote unafanywa na serekali. Kwanza usitake kuonyesha ambao hawaridhishwi na uchaguzi wanaumiza wengine, maana kama ni chaguzi kunajasiwa imekuwa ni kawaida, na hakuna lolote watu wanafanya zaidi ya kupata huzuni. Na ccm kwa kujua hilo ndio maana wakawa wanapora chaguzi watakavyo. Lakini uchaguzi wa juzi watu wakachora mstari.

Ili kuficha ukweli wa chaguzi kunajisiwa, ndio mnaokoteza sijui watu kuumizwa, lakini wizi ule ulikuwa mkubwa kuliko vitendo kidogo vya watu kuonyesha hasira zao. Ama umeshajenga tabia ya kuishi na chaguzi za wizi, kiasi kwamba watu wakichukua hatua unashangaa kama taifa kwani wizi mmegeuza ndio tabia?
 
Mwizi wa magari ni debe tupu, ni wa kumpuuza, tayari anatumika kama kondomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ