Wakati nyie mlikuwa mnafanya uchaguzi wa wizi, unaweza kusema ni wapi kura 31m zilitokea? Ama unadhani waliomua kufanya fujo walifanya bila kujua ni kwanini wanafanya hivyo?Wa October hawakuandamana
Walifanya vurugu
Adhabu ya kuandamana bila kufuata Utaratibu sio kuuawa kwa kupigwa risasi, acha kuhalalisha mauaji ya wananchi wenzako wakiwemo watoto wadogoKatiba ya Tanzania inaruhusu maandamano bila kufuata utaratibu? KARIBU TUANZIE HAPO.
Wafanya vurugu ndo wanauliwa?Wa October hawakuandamana
Walifanya vurugu
Halafu si alikuwaga na kesi ya kumbaka yule Mbuta Nanga kule Uingereza 😂Mwizi wa magari ni debe tupu, ni wa kumpuuza, tayari anatumika kama kondomu.
Umenielewa mkuu, shukrani sana 🙏🏽You're right, ukitazama vizuri hata viongozi wake wajuu kuna namna huwa anawakataa wakileta issue za uanaharakati, Lema ni type za kina Mbowe, simply ni wanasiasa.
Anavimbishwa kichwa na wajinga wenzake na kujiona yeye kama funguo upande wa Chadema wakati tunajua kalamba buyu la asali kutoka kwa wenye mizinga ya nyuki, anyway watu wa huko hawaaminika pale pesa inapotumika.Halafu si alikuwaga na kesi ya kumbaka yule Mbuta Nanga kule Uingereza 😂
Lema kumbe kichwani hamna kitu kabisa.
Mange kuhamasisha maandamano si kosa kabisa.
Tanzania hakuna kosa la kuhamasisha maandamano kwenye sheria zake.
Katiba ya nchi inaruhusu maandamano.
Mange kuhamasisha watu watumie haki yao ya kikatiba si kosa.
Wanaofanya makosa ni hao wanaoua waandamanaji.
Kuua watu kisa wameandamana haikubaliki hata kidogo.
Lema boya kabisa huyu jamaa.
Kwa nini anawahalalisha wauaji?
Kiukweli sidhani yani labda awe na uthibitisho ambao utamuangusha Mange completely kwa sababu hata wanaharakati sio kwamba ni watakatifu. Huwa kuna time wanaingia kwenye chumba cha strategic negotiation"Ninachokihisi, Godbless Lema anayajua ya wanaharakati baadhi na wao wanajua ya kwake ndio maana wanaishia kubwekeana ila hawaumani."
Je Lema anaiweza vita ya dada wa taifa?
Sheria gani iliyovunjwa Oktoba 29?Maandamano yenye kutambuliwa na Katiba ni Maandamano yenye kufuata Sheria
Sasa twambia wewe Nyani Ngabu
Je Maandamano ya Mo29 yamefata Sheria?????
Kumamakko mwenyeweWafanya vurugu ndo wanauliwa?
Wale waliouliwa majumbani mwao je?
Hawa watoto walifanya vurugu wapi?
View attachment 3702890View attachment 3702891
Qumaamako chokko wewe.
Ebu tueleze ni chama gani kiliibiwa kura zake?Ni wapi nimesema utekaji wote unafanywa na serekali. Kwanza usitake kuonyesha ambao hawaridhishwi na uchaguzi wanaumiza wengine, maana kama ni chaguzi kunajasiwa imekuwa ni kawaida, na hakuna lolote watu wanafanya zaidi ya kupata huzuni. Na ccm kwa kujua hilo ndio maana wakawa wanapora chaguzi watakavyo. Lakini uchaguzi wa juzi watu wakachora mstari.
Ili kuficha ukweli wa chaguzi kunajisiwa, ndio mnaokoteza sijui watu kuumizwa, lakini wizi ule ulikuwa mkubwa kuliko vitendo kidogo vya watu kuonyesha hasira zao. Ama umeshajenga tabia ya kuishi na chaguzi za wizi, kiasi kwamba watu wakichukua hatua unashangaa kama taifa kwani wizi mmegeuza ndio tabia?
Haya nenda ukaphirwe na Abduli. Akimaliza mpelekee na Ndejembi naye akufiire.Kumamakko mwenyewe
Waliofanya vurugu wanajulikana and innocent victims were inevitable
Wapumzike kWa Amani Shanta wote waliofariki kwa sababu ya vurugu zilizochochewa na diaspora ambao never stepped their feet on the ground
Unafirwa na babako kumma we
Twende taratibu.. waandamanaji wenye mapanga,petroli,wavamia vituo vya polisi, wachoma vituo vya mafuta,wavamia mabaa ya watu ,wavamia maofisi ya umma na kuchoma inabidi watulizwe na nani? Vipi,pale ndugu yako anapovamiwa kwenye duka na mitungi ya gesi ,baa na simu na kuchukuliwa kila kitu na mali yake kuchomwa. Je,huyo ndugu yako amekosea nini? Kama ni maandamano dhidi ya serikali,kwanini amukwenda Ikulu ,kambi za jeshi ili mkachukue ata vifaru. MLIKOSEA SANA,MLISABABISHA VYOMBO VYA DOLA KUWAJIBIKA IPASAVYO DHIDI YA MAPINDUZI HARAMU.Adhabu ya kuandamana bila kufuata Utaratibu sio kuuawa kwa kupigwa risasi, acha kuhalalisha mauaji ya wananchi wenzako wakiwemo watoto wadogo
Sheria gani iliyovunjwa Oktoba 29?
Kuhamasisha watanzania walioko Tanzania kufanya fujo kupitia kile mnachoita maandamano wakati mnajua hakuna maandamano ambayo hayana kiongozi/viongozi. Kuchekelea wale wanaotukana watu kisa tu hawakubaliani na nyinyi, n.kKitu gani tunachofanya kilicho cha hovyo?
Utakuwa ni mjinga kweli kweli, kwani uchaguzi wa wizi ni lazima uwe ni WA kura za chama fulani? Ama bado mliamini watu ni wajinga ama waoga, hivyo mngeeendelea kunajisi chaguzi watu wakiwatazama tu?Ebu tueleze ni chama gani kiliibiwa kura zake?
Uchaguzi uliibiwa kiaje? Mfano sisi CHADEMA atukushiriki kwenye nafasi ya udiwani,ubunge na urais..sasa tuliibiwa wapi? Okay,tulifanya vurugu ili kuharibu uchaguzi,je leo hii nchi inaongozwa na serikali ya chama kipi? KARIBU KAMANDA INGAWA TANGU MWANZO NILIPINGA HIYO NJIA LISSU ALIOTUAMBIA TUTUMIEUtakuwa ni mjinga kweli kweli, kwani uchaguzi wa wizi ni lazima uwe ni WA kura za chama fulani? Ama bado mliamini watu ni wajinga ama waoga, hivyo mngeeendelea kunajisi chaguzi watu wakiwatazama tu?
Kwa hiyo hiyo ndo halalishi ya kuua watu?Kuhamasisha watanzania walioko Tanzania kufanya fujo kupitia kile mnachoita maandamano wakati mnajua hakuna maandamano ambayo hayana kiongozi/viongozi. Kuchekelea wale wanaotukana watu kisa tu hawakubaliani na nyinyi, n.k
Mikiki mikiki ya Mange, Lema haiwezi, tena anaweza kudili naye wiki tu kila kitu kikaharibikaKiukweli sidhani yani labda awe na uthibitisho ambao utamuangusha Mange completely kwa sababu hata wanaharakati sio kwamba ni watakatifu. Huwa kuna time wanaingia kwenye chumba cha strategic negotiation
Kwa hiyo Mange kama ameshawahi kufanya na risiti zipo. Maybe anaweza kuzitumia
Tukiangalia kwa jicho la kawaida, Lema namuona kama mwanasiasa flani neutral anaependa kuwa na ile innocent or clean look wakati Mange ni yule mtu hajali na ana roho ya kutoachia kirahisi. Kwa hiyo ili Lema amuweze, inabidi awe ameandaa pawa na evidence nzito dhidi yake or else. Atakuwa anapambana vita ya kushindwa hata kabla haijaanza