Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Chadema miaka yote ni watu wa kulia kulia tu wkt ni dhahiri hua wanahujumiwa Sugu amedakwa kizembe tu,ofisi Arusha imechomwa moto,Lissu msafara wake umeshambuliwa na hapo utaishia kusikia Mbowe akisema nakemea tukio hili sisi ni watu wa amani halafu ndio imeishia hapo.

Sasa nasema mpigwe tu mpk siku mtakapochoka na busara/upole wa Mbowe na kuamua kuchukua hatua za kupambana na uonevu mnaofanyiwa kila siku.
 
Tumuombe Mungu atuvushe salama.
Maana liko jambo Iinalotafutwa na hali ikiendelea hivi huenda tukawa na mazombi na janjaweed wa zenji huku kwetu.
 
Chadema mmezidisha sana Kiki zisizo na mantiki kabisa.....yani mnafanya fuji ili muonekane bora
 
Wanaweza kuwa wameahambuliwa na nyuki tu lkn kwa haraka za kuwa wa kwanza kuripoti ndo inakuwa hivyo
Kuna tetesi kuwa kuna mwenzenu mmoja kakumbana na hasira za wananchi katangulizwa, ndiyo muwache kimbelembele
 
Akili matope unaomba kuombewa kanisani na roho yako chafu chuki chjki
 
Lo nani alikuwa mwizi wazamani wa magari?
 
Wahamiaji haramu wote lazima tuwarudishe kwenu Burundi
 
Hawawezi kukamatwa maana waliowatuma ndio wanaotakiwa kulinda raia na mali zao.Ni mkakati kuonyesha kuwa Mh.Lissu ni mvunjifu wa amani.No Hate No Fear.
 
Safari hii mmeshikwa pabaya,Huyu ndio Kiboko ya Jiwe,Mlishindwa kumuua sasa basi mtamtisha na nini tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…