wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Chadema miaka yote ni watu wa kulia kulia tu wkt ni dhahiri hua wanahujumiwa Sugu amedakwa kizembe tu,ofisi Arusha imechomwa moto,Lissu msafara wake umeshambuliwa na hapo utaishia kusikia Mbowe akisema nakemea tukio hili sisi ni watu wa amani halafu ndio imeishia hapo.
Sasa nasema mpigwe tu mpk siku mtakapochoka na busara/upole wa Mbowe na kuamua kuchukua hatua za kupambana na uonevu mnaofanyiwa kila siku.
Sasa nasema mpigwe tu mpk siku mtakapochoka na busara/upole wa Mbowe na kuamua kuchukua hatua za kupambana na uonevu mnaofanyiwa kila siku.