Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Chadema miaka yote ni watu wa kulia kulia tu wkt ni dhahiri hua wanahujumiwa Sugu amedakwa kizembe tu,ofisi Arusha imechomwa moto,Lissu msafara wake umeshambuliwa na hapo utaishia kusikia Mbowe akisema nakemea tukio hili sisi ni watu wa amani halafu ndio imeishia hapo.

Sasa nasema mpigwe tu mpk siku mtakapochoka na busara/upole wa Mbowe na kuamua kuchukua hatua za kupambana na uonevu mnaofanyiwa kila siku.
 
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai

Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"

Tumuombe Mungu atuvushe salama.
Maana liko jambo Iinalotafutwa na hali ikiendelea hivi huenda tukawa na mazombi na janjaweed wa zenji huku kwetu.
 
Chadema mmezidisha sana Kiki zisizo na mantiki kabisa.....yani mnafanya fuji ili muonekane bora
 
Wanaweza kuwa wameahambuliwa na nyuki tu lkn kwa haraka za kuwa wa kwanza kuripoti ndo inakuwa hivyo
Kuna tetesi kuwa kuna mwenzenu mmoja kakumbana na hasira za wananchi katangulizwa, ndiyo muwache kimbelembele
 
Ulisha pata ajira mkuu?

Na salio la sasa😁😁😁
2A949A5D-EF71-4B6F-B6A8-597896198B59.png
 
Akili matope unaomba kuombewa kanisani na roho yako chafu chuki chjki
 
Acha bangi wewe. Nani ahangaike na nyinyi mna sera gani za kutisha watu mpka watu wawavamie. Mgombea wenu kila sehemu anaongelea risasi risasi, anatafuta huruma ya wananchi. Mnavunja sheria, hakuna anayesumbuka nanyinyi, mmeamua kuapply plan B kwa kuanza kutengeneza Matukio wenyewe. Mastemind wa haya matukio ni huyo mwizi wa zamani wa magari. Yaani matukio yote yaongozane halafu yatokee kanda ya kaskazini tu.

Nadhani ni wakati muafaka wa kupiga marufuku hii misafara ya Lissu tuone kama kuna matukio yatatokea. Atafute wadhamini kimya kimya kupitia Makatibu wa wilaya na mikoa. Hakuna ulazima wowote wa yeye kwenda kuhutubia, kama watu wanamkubali watamdhamini tu.
Lo nani alikuwa mwizi wazamani wa magari?
 
Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.

CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.

Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.

Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Wahamiaji haramu wote lazima tuwarudishe kwenu Burundi
 
Hawawezi kukamatwa maana waliowatuma ndio wanaotakiwa kulinda raia na mali zao.Ni mkakati kuonyesha kuwa Mh.Lissu ni mvunjifu wa amani.No Hate No Fear.
 
Acha bangi wewe. Nani ahangaike na nyinyi mna sera gani za kutisha watu mpka watu wawavamie. Mgombea wenu kila sehemu anaongelea risasi risasi, anatafuta huruma ya wananchi. Mnavunja sheria, hakuna anayesumbuka nanyinyi, mmeamua kuapply plan B kwa kuanza kutengeneza Matukio wenyewe. Mastemind wa haya matukio ni huyo mwizi wa zamani wa magari. Yaani matukio yote yaongozane halafu yatokee kanda ya kaskazini tu.

Nadhani ni wakati muafaka wa kupiga marufuku hii misafara ya Lissu tuone kama kuna matukio yatatokea. Atafute wadhamini kimya kimya kupitia Makatibu wa wilaya na mikoa. Hakuna ulazima wowote wa yeye kwenda kuhutubia, kama watu wanamkubali watamdhamini tu.
Safari hii mmeshikwa pabaya,Huyu ndio Kiboko ya Jiwe,Mlishindwa kumuua sasa basi mtamtisha na nini tena.
 
Back
Top Bottom