Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hao ni wapinzani tu. Kwa nini iwe Hai?? Tumia ubongo wako vizuri. Kwa nini kwenye jimbo la Mwenyekiti unataka kutuaminisha kuwa Lissu hakjbaliki kwenye jimbo la Mbowe??


Yaani wavunje magari yao wenyewe 😂😂 kwenye tuna wajinga🤣
 
Magufuli hapendi kabisa haya matukio ya kihuni dhidi ya wapinzani
Ni kweli hapendi kabisa ndio maana wanaoyafanya wamechukuliwa hatua za haraka na polisi wanafanya kazi usiku na mchan akuhakikisha haya matukio hayapo

Isitoshe polisi wanaongoza kukamata wapinzani kuliko kukamata wahalifu, hii nguvu wanapata wapi kama sio maagizo kutoka kwa boss
 
Hakika Magufuli ni kipenzi wa wapinzani.
 
Msaliti Lissu ameshawavuruga wachagga wameanza kutandikana wakati msingida ametoka kwao bila fujo na familia yake ameiacha Ubelgiji.
Lisu hajavuruga wachaga na hawezi.
Wapumbavu wachache wanataka kuwachafua wachaga.
Hili halikubaliki na wachaga wote wanatakiwa wautetee ustaarabu wao bila kujali vyama.
Utu na heshima mbele, vyama baadaye.
 
Mwisho wao hauwezi kuwa mzuri
 
Lisu hajavuruga wachaga na hawezi.
Wapumbavu wachache wanataka kuwachafua wachaga.
Hili halikubaliki na wachaga wote wanatakiwa wautetee ustaarabu wao bila kujali vyama.
Utu na heshima mbele, vyama baadaye.
Uvccm ndiyo wanataka kuharibu ustaarabu wa wana wa wachaga.
 
JPM na genge lake ni WAHUNI na WENDAWAZIMU, ufedhuli huu una mwisho wake tu.
 
Hizi harakati za kutukatisha tamaa.kwa taarifa yenu mnatupa nguvu ya kuendelea na mapambano.pole sana Ole sabaya umeshindwa vibaya sana.
 
Katawaze unanuka mavii
 
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?
Magufuli hana sababu ya kuogopa.

Hakuna mtu mwenye furaha na amani kwenye hii kama rais Magufuli kipenzi cha waafrika wote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…