Hao ni wapinzani tu. Kwa nini iwe Hai?? Tumia ubongo wako vizuri. Kwa nini kwenye jimbo la Mwenyekiti unataka kutuaminisha kuwa Lissu hakjbaliki kwenye jimbo la Mbowe??
Yaani wavunje magari yao wenyewe 😂😂 kwenye tuna wajinga🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wapinzani tu. Kwa nini iwe Hai?? Tumia ubongo wako vizuri. Kwa nini kwenye jimbo la Mwenyekiti unataka kutuaminisha kuwa Lissu hakjbaliki kwenye jimbo la Mbowe??
Ni kweli hapendi kabisa ndio maana wanaoyafanya wamechukuliwa hatua za haraka na polisi wanafanya kazi usiku na mchan akuhakikisha haya matukio hayapoMagufuli hapendi kabisa haya matukio ya kihuni dhidi ya wapinzani
Si unaona hata hiyo ID yake ndiyo ujue uelewa wake ukoje!Mate yatakukauka bure.
Hakika Magufuli ni kipenzi wa wapinzani.Ni kweli hapendi kabisa ndio maana wanaoyafanya wamechukuliwa hatua za haraka na polisi wanafanya kazi usiku na mchan akuhakikisha haya matukio hayapo
Isitoshe polisi wanaongoza kukamata wapinzani kuliko kukamata wahalifu, hii nguvu wanapata wapi kama sio maagizo kutoka kwa boss
Lisu hajavuruga wachaga na hawezi.Msaliti Lissu ameshawavuruga wachagga wameanza kutandikana wakati msingida ametoka kwao bila fujo na familia yake ameiacha Ubelgiji.
Mwisho wao hauwezi kuwa mzuriNi kweli hapendi kabisa ndio maana wanaoyafanya wamechukuliwa hatua za haraka na polisi wanafanya kazi usiku na mchan akuhakikisha haya matukio hayapo
Isitoshe polisi wanaongoza kukamata wapinzani kuliko kukamata wahalifu, hii nguvu wanapata wapi kama sio maagizo kutoka kwa boss
Uelewa wangu ni mara 1000 zaidi ukilinganisha na wako!Si unaona hata hiyo ID yake ndiyo ujue uelewa wake ukoje!
Labda wapinzani kina Lyatonga na Lipumba na MbatiaHakika Magufuli ni kipenzi wa wapinzani.
Unahitaji akili nyingi kuelewa nilichoandika.Labda wapinzani kina Lyatonga na Lipumba na Mbatia
Moto wa Lissu utazidi kuwaka na kuunguza njama za kitoto.Angalia hapa chini wanahai wasivyomtaka huyo Faru John.
View attachment 1537266
Uvccm ndiyo wanataka kuharibu ustaarabu wa wana wa wachaga.Lisu hajavuruga wachaga na hawezi.
Wapumbavu wachache wanataka kuwachafua wachaga.
Hili halikubaliki na wachaga wote wanatakiwa wautetee ustaarabu wao bila kujali vyama.
Utu na heshima mbele, vyama baadaye.
Nimekuelewa vizuri sana mkuu usiwe na hofu namiUnahitaji akili nyingi kuelewa nilichoandika.
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?Meko analazimisha ushindi wa mezani
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?Mnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Katawaze unanuka maviiDuuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?Magufuli hapendi kabisa haya matukio ya kihuni dhidi ya wapinzani
Magufuli hana sababu ya kuogopa.JPM mpumbavu sana, kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini?
Nyinyi ni wajumbe wa hao wenye uwezo zaidi siyoSubirini mtandikwe na wenye uwezo kuwazidi ndiyo akili iawarudia