Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Yaani cha kushangaza kuna watu hapa watatetea waleta fujo, wachoma ofisi, wavamiaji. Kama tulivyosema ukiwapata watu kwenye mioyo hakuna wa kuzuia. Wanatengeneza mazingira ya fujo halafu wasingizie upinzani!!!
Wewe mlevi hata kupiga kura huwezi hata hukujiandikisha!!Chadema kaskazini tunamtaka kamanda TAL
Subiri 28 oktoba utayapata majibu labda mtumie polisi kutangaza matokeoWewe mlevi hata kupiga kura huwezi hata hukujiandikisha!!
Mbowe alipovunjika mguu alisingizia nini?Wako watu wana akili za kusahau kama kuku broilers.
Huyo kijana alieuliwa wako hao ambao wamekamatwa tayari wengine wataingia kwenye kesi ya maauji, wahanga wa hadaa za kisiasa. Lissu na genge lake wanafurahia mradi wa kesi mwingine huo.
Kwi Kwi KwiHopeless thread ever!!
Hao ni wapinzani tu. Kwa nini iwe Hai?? Tumia ubongo wako vizuri. Kwa nini kwenye jimbo la Mwenyekiti unataka kutuaminisha kuwa Lissu hakjbaliki kwenye jimbo la Mbowe??
Yaani watu wafurahie kupigwa mawe, kuchomewa ofisi, kupigwa risasi, kuvunjwa miguu inalekea tuko Dunia tofauti. Hapa Hitler kuna wajinga walikuwa wanasema kuchoma wayahudi kule ni sawa
Hilo tatizo linasababishwa na mkuu Wa wilaya polisi wanaangalia wahuni walio pangwa wakirusha mawe je hao waupande mwingine wakijibu itakuwejeAliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"
Channel Gani hiyKuna video clip u tube wakati Lissu akihutubia Babati/Karatu leo kuhusu kuchomwa kwa ofisi Arusha. Akiwa anawapa taatifa wafuasi wa Atusha kwamba wajiandae mkutano utafanyika hapo ofisi ilipochomwa. Mchukua video alinasa picha ya Mbowe na Nyalandy wakimcheka Lissu kiana flani hivi halafu akahamisha kamera, fuatilia utaona. Sijui kama mkutano ulifanyika kwenye hiyo ofisi au la?
Channel Gani hiy
HodiiiiiWewe mlevi hata kupiga kura huwezi hata hukujiandikisha!!
Mangula nae atakua ameiga chadema tabia ya kujidhuru sio?chadema wana tabia ya kujidhuru ili tuwahurumie
Bila hata kapicha tutakuaminijeAliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai
Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame haribiwa. Mgombea Uraisi na Team yake wako salama. Polisi wako lakini wana shuhudia, mkutano umevunjika. Taarifa kamili kuwajia"
Mambo haya yote yameletwa hapa nchini na mtu mmoja tu. Yeye huwapa kinga wahuni wanaowadhuru wapinzani
Channel zipo nyingi zenye kuonesha hayo matukio ya lisu ni nguvu kukuta ni ipikama wewe mwenyew umeshindwa kutaja hiyo channel umeshapoteza point hapaU tube on line TV sina hakika na channel leo kama saa5 asubuhi.