Tatizo ni waliko zaliwaUongozi wa hovyo kabisa!!
Sisi tunamkubali.Lisu hakubaliki jamani! Mwambieni aache kutukana watu hovyo
Ikulu ndiyo imawafamyeni muumize watu wanao wapinga? Hiyo ikulu mlizaliwa nayo? Wacheni mawazo ya kishetani nyinyi.Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.
CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.
Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.
Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Chadema ipo mitandaoni mkuu wao wenyewe hawawezi kujioganize! Mmoja yupo arusha, mweingine moshi mwingine mbeyaCHADEMA mjilinde dhidi ya hao wahuni.Kamateni na kuzaa na mmoja wao ili iwe funzo kwa mahanithi wengine.
Hapo hapoHivi pale Hai si ndio kun yule mkuu wa wilaya fulani asiejielewa? Ama ni mwingine?
Subirini mtandikwe na wenye uwezo kuwazidi ndiyo akili iawarudiaMnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Wewe mwenyewe ni mvuta bhangi tuArusha na kilimanjaro wanaendekeza bangi sana
Lazima tuwarudishe kwenu BurundiHuyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake ,sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Wameshambulia magari tu watu hawajaguswa?
Ni edit kitu gani? Na kuna ulazima gani wa ku edit?Naona ameedit sasa.
Wewe lofa nyamazaDuuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli. Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?....
Hiyo ni mipango ya Ole Sabai, nawaambia bila kumrestisha in pisi huyo dogi atasumbua sanaHapa ndio patamu tulipokuwa tunapataka
Mkuu Hii ni ndoto,chadema kushika dola hadi hiki kizazi cha watoto watakaozaliwa mwaka 2100 kiishe,kwa kipi chadema wapewe nchi?Tunawapeni salaam nyinyi wahutu kuwa cdm ikiingia madarakani lazima wahamiaji haramu wote mrudi kwenu Burundi
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.