Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.

CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.

Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.

Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Ikulu ndiyo imawafamyeni muumize watu wanao wapinga? Hiyo ikulu mlizaliwa nayo? Wacheni mawazo ya kishetani nyinyi.

Hii nchi siyo mali yenu pekee yenu wala hakuna sehemu mmekatia leseni ya kuimiliki Tanzania.
 
CHADEMA mjilinde dhidi ya hao wahuni.Kamateni na kuzaa na mmoja wao ili iwe funzo kwa mahanithi wengine.
Chadema ipo mitandaoni mkuu wao wenyewe hawawezi kujioganize! Mmoja yupo arusha, mweingine moshi mwingine mbeya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu jamaa amekuwa bingwa wa kuhubiri chuki majukwaani naona ameanza kuonja ladha ya adha anayaihubiri,apeleke ubeligiji hizo chuki zake ,sisi tuko pamoja na jpm,na bado ataionja shubiri zaidi na zaidi
Lazima tuwarudishe kwenu Burundi
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli. Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?....
Wewe lofa nyamaza
 
Tunawapeni salaam nyinyi wahutu kuwa cdm ikiingia madarakani lazima wahamiaji haramu wote mrudi kwenu Burundi
Mkuu Hii ni ndoto,chadema kushika dola hadi hiki kizazi cha watoto watakaozaliwa mwaka 2100 kiishe,kwa kipi chadema wapewe nchi?
 
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.

Si mnakubalika sasa wahuni wachache mnashindwa kuwadhibiti?
 
Back
Top Bottom