Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hapo kesi wanapewa CHADEMA kama ilivyokua kwa Aquilina...

Kmmaee
 
Huu ni muda wa kudeploy red brigades kwenye matukio kama hayo. Wakija wahuni wachache wanakutana na nguvu sawa au ikibidi zaidi ya ile waliyokuja nayo.

Muhenga Newton aliliona hilo kitambo sana: to every action, there should always be an equal and opposite reaction
 
Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.

CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.

Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.

Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Intellijensia inayo imulika chadema kuliko ubovu wa uchumi.
 
Hii ndiyo inatakiwa ili kukomesha huu uonevu na udhalimu wa maccm.

Inasemekana mrusha mawe mmoja kauwawa na wananchi huko.

Polisi walikuwepo wakiangalia tu kama sinema vile.
 
Magufuli katembea peke yake nchi nzima miaka yoote mitano....

Dah...

Tufanyeje ...!???
 
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.

Tatizo wewe hujui, watu wa kaskazini siyo wale wa miaka ile, huyu tarumbeta wenu hawajui amekwenda kufanya mkutano au amekwenda kutafuta wadhamini? watu wa kaskazini ni wasomi, hiyo ni salamu tuu kuwa awamu hii kaskazini kwa upande wa Rais anajulikana, wazee walishaomba upatanisho na Mh. Magufuli hawataki kufanya makosa wanataka maendeleo.

Pia hicho ni chama chao, wanashangaa lijitu limetokea wapi ambalo halijulikani miaka 3 lilikuwa wapi? hajui CHADEMA imepitia machungu gani eti yeye anakurupuka anaanza kuleta sera za uchochezi na RAMRI chonganishi. Wazee wa KILIMANJARO HONGERENI SANA
 
Chadema ipo mitandaoni mkuu wao wenyewe hawawezi kujioganize! Mmoja yupo arusha, mweingine moshi mwingine mbeya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ni hivyo nguvu za ziada za nini... Kwann msifanye yenu na wao yao mwisho wa siku sanduku la kura liamue ....mtakuwa wasemaji wa watu mpaka lini!....
 
Musiba alishasema kuwa kuna mbinu chafu inaandaliwa na wenye Saccos! Haya sasa kwa nini iwe Hai?? Kwingine amepita salama?
Anajulikana mratibu wa uhalifu huu kuwa ni yule anaejiita mtoto wa mjini a.k.a black eagle 2.
 
Back
Top Bottom