Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ulitaka washambulie watu ?Kina nani hao wana hasira ya kushambulia magari tu na kuacha ku deal na watu? Hayo magari yamewakosea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka washambulie watu ?Kina nani hao wana hasira ya kushambulia magari tu na kuacha ku deal na watu? Hayo magari yamewakosea nini?
Hahahaaaa mtashindana lkn hamta shinda. Kama sio leo ipo siku tena kiulainii sana.Lisu hakubaliki jamani! Mwambieni aache kutukana watu hovyo
Wakifanya hivyo yale ya Aqulina yatajirudia. Kila kitu kina mwisho wake.CHADEMA mjilinde dhidi ya hao wahuni.Kamateni na kuzaa na mmoja wao ili iwe funzo kwa mahanithi wengine.
Intellijensia inayo imulika chadema kuliko ubovu wa uchumi.Baada ya kuzunguka kote sasa mmeanza chochoko ili tu mvuruge uchaguzi.
CHADEMA mtaishia matukio tu lakini ikulu hamtaiona. Bahati mbaya hamjuo CCM ndio iko madarakani na ina intelijensia yote.
Mkifanyiana unyama mkikamatwa iwe kiki..mwendo wa kuwachungulia tu na kuwapuuuza.
Afu mnataka vyombo vya habari viwatangaze na upuuzi huu?
Inasemekana mrusha mawe mmoja kauwawa na wananchi huko.
Polisi walikuwepo wakiangalia tu kama sinema vile.
Lengo ni kuwafanya wenye magari yao waogope kushiriki msafara wa TALKwa nini gari lishambuliwe? Gari lina kosa gani?
Ulisha pata ajira mkuu?Mnaanzisha Vurugu hata kabla ya Kampeni CHADEMA Uhuni mnataacha Lini?
Saccos ndiyo wanaharibu. Kwanini Hai?? Mbona kwingine amepita salama?Jiwe anaharibu hii nchi
Na ni mpango wa wanasaccos. Kwanini Hai ndiyo itokee??Lengo ni kuwafanya wenye magari yao waogope kushiriki msafara wa TAL
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Kama ni hivyo nguvu za ziada za nini... Kwann msifanye yenu na wao yao mwisho wa siku sanduku la kura liamue ....mtakuwa wasemaji wa watu mpaka lini!....Chadema ipo mitandaoni mkuu wao wenyewe hawawezi kujioganize! Mmoja yupo arusha, mweingine moshi mwingine mbeya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anajulikana mratibu wa uhalifu huu kuwa ni yule anaejiita mtoto wa mjini a.k.a black eagle 2.Musiba alishasema kuwa kuna mbinu chafu inaandaliwa na wenye Saccos! Haya sasa kwa nini iwe Hai?? Kwingine amepita salama?
Muulizeni Mwkt Mbowe kwa nini imetokea kwenye jimbo lake??Polisi ni kazi mbaya sana! ni kazi ya kijinga,kazi ya lawama& nikazi ya kupelekeshwa!
"If you start valuing yourself, others'll do the same"-Maheshwari.
Mwanaginingi Kilwa94
Ni Mbowe na kundi lake Musiba alishasema.Anajulikana mratibu wa uhalifu huu kuwa ni yule anaejiita mtoto wa mjini a.k.a black eagle 2.