Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawa unakufanya kipofu. Lema ameripoti tu yaliyosemwa na Lissu lakini kwa uchawa wako unaona kuwa anataka kuwa mentor wa Lissu. Kuwa mkweli tu kuwa una usongo na Chadema. Ni haki yako na hamna atakaye kulaumu au kukubeza. Ukweli utakupa uhuru.Lema aache kumpangia mtu maneno yakuongea na kumuongoza lissu nini afanye haya yanafanywa na watu wanaojipendekeza ndio maana wanaitwa machawa wewe huwezi kuona kwasababu umekunywa damu ya chama