Pre GE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema aache kumpangia mtu maneno yakuongea na kumuongoza lissu nini afanye haya yanafanywa na watu wanaojipendekeza ndio maana wanaitwa machawa wewe huwezi kuona kwasababu umekunywa damu ya chama
Uchawa unakufanya kipofu. Lema ameripoti tu yaliyosemwa na Lissu lakini kwa uchawa wako unaona kuwa anataka kuwa mentor wa Lissu. Kuwa mkweli tu kuwa una usongo na Chadema. Ni haki yako na hamna atakaye kulaumu au kukubeza. Ukweli utakupa uhuru.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…