Nina habari."ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-hauna habari hilo mahakama iliamuru ni haki yake kukutana na viongozi na wanasheria wake.
Yaani anathibitisha doubts za watu. Kwamba iulikuwa na maongezi na watawala. Mbona hasemi aliyemtuma kuongea na watawala? Mbona hasemi alianzaje? Mbona hasemi yote waliyoongea? Zitto nae alianza hivi hivi na Lema ndio alikuwa mstari wa mbele kumsanukia. Leo yeye Sasa, anataka tutumie busara Kama zitto alivyokuwa anatuambia. Shenzi type.Pointless press conference!
Halafu, kumbe baadhi ya mambo ambayo yalikuwa yanadaiwa dhidi yake ni ya kweli.
Swali ni kwamba, CHADEMA wanataka apange Samia au asipange Samia?Mahakama ambayo Babu wasira anasema anapanga yeye! Sasa hapo maana yake si anapanga samia
"Mimi nishawahi kufanya kikao nasema hapa na makamu rais aliyetoka madarakani na kikao hicho ni kwenye njia ya simu. Nikafanya na mwanasheria mkuu wa serikali. Nikamwambia tafadhali mheshimiwa Nchimbi, tusaidie. Tunaomba kitu kimoja tu, ongea, na bosi wako. tumezuiliwa, waruhusu viongozi wakuu waweze hata kumsalimia mwenyekiti."-Amesema Lema
Facts zipi??Press yake imefunua zaidi facts na naona inamuangamiza kuliko kujiokoa .Kaongea mambo mengi sana ya msingi.
Kwani Lema alitumwa na Chadema?Nina habari.
Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?
Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?
Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Kwamba katumwa au hajatumwa ni irrelevant, kwa sababu yeye ni kiongozi wa chama.Kwani Lema alitumwa na Chadema?
Lema anajiongeza kuwa pamoja na uharamu wa Samia, na mahakama kuamuru vinginevyo, ila uhalisia nikuwa magereza na mahakama zinapokea amri na kutii amri za wahuni.
Angalia kesi ya Mpina kuh kugombea uraisi.
Wahuni wameshika hatamu.
Facts za damage nyingi zilizokwishafanyika.Facts zipi??
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Kwanza kabisa, sizungumzii sheria, nazungumzia principle.Sheria za wapi unazozungumzia? Za hapa Tanzania ambapo serikali inazivunja kila ikiamua?
Kwani Mbowe aliachiwa kwa sheria gani? Mahakama au DPP? Si tulishitukia tu mwamba ameibukia Ikulu kwa mama wanapiga stori?
Vv
Kwa nini mnampa (Lema anampa) Samia nguvu ambazo kikatiba hana?
Samia akisema hayo mambo yapo mahakamani, sitakiwi kuingilia uhuru wa mahakama, mtasemaje?
Yani Lema anataka Samia aiingilie mambo yaliyopo katika mfumo wa mahakama?
Nafikiri wanataka serikali ambao ndiyo waliofungua case waifute (mfano kwa njia ya nolle prosequi). Kutokuwa na nia ya kuendelea nayo kwa maslahi ya umma kwa mfano. Ni mamlaka ambayo wanayo kisheria. Na kuifuta case siyo kuingilia mahakama, wanayo hiyo mandate kisheria.Nina habari.
Sasa kwa nini wasikomae kuilazimisha serikali itie haki ambayo ishapitishwa na mahakama?
Kwa nini Lema anaomba Samia afanye fadhila, wakati mahakama ishatoa haki?
Huoni kuwa CHADEMA wanaji contradict, upande mmoja hawataki mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu, kwenye kesi ya Lissu wanataka mahakama ziendeshwe kwa amri kutoka juu?
Kuna sehemu Lema amesema kuwa alitumwa na chama kwenye hiko kikao na makamu wa rais aliyepita kwa kufukuzwa na uwanachama CCM?Swali ni kwamba, CHADEMA wanataka apange Samia au asipange Samia?
Kama wanataka apange Samia, basi wasilalamike habari ya mahakama kuendeshwa kwa "amri kutoka juu".
Kama hawataki apange Samia, basi wasiombe Samia amalize kesi ya Lissu.
Hii sio kauli inayotarajiwa kutolewa na kiongozi wa upinzani level ya Lema. Not strategic at all. Labda kama ameamua kuasi na kujiondoa toka kwenye chama.Tumewaumiza sana CCM kwa taarifa za uongo!! Dah huyu ndugu leo kamwaga facts sana ambazo sikutegemea 😀