Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shangaa sijui angefanyiwa mume wake angefurahiAcheni upambe na siasa za maji taka. Tusitetee maovu kwa kisingizio cha siasa. Unyama alioufanya huyu Paulina ni wa kukemewa na anastahili adhabu. Hizo taaruki alizokusabishia Lema kama alisema uongo ni jambo jingine.
Nchi Ina vijana wadwanzi sana hii huyo Gekul sio wa kumtetea hata kidogo na hakustahili hata hyo post ya unaibu waziri mama kama unasoma hapa Bora Hilo shavu unipe Mimi ntahudumu kwa welediHawa UVCCM ni wapumbavu sn
Wewe ni mpumbavuSitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇
View attachment 2827135
Ni mambo ya kishetaniNchi Ina vijana wadwanzi sana hii huyo Gekul sio wa kumtetea hata kidogo na hakustahili hata hyo post ya unaibu waziri mama kama unasoma hapa Bora Hilo shavu unipe Mimi ntahudumu kwa weledi
Basi acha gekulu ashitakiweWe mwanaCCM jinai ni jinai tu. Kila mtu anatakibwa ashitakiwe kwa kosa alilotenda.
Issue sio lema bali ni unyanyasaji aliofanyiwa kijana.Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇
View attachment 2827135
Kwani ni uongo kuwa hapa jukwaani unafahamika kwa pumba zako?It is not true
Mixa kupenda kupelekewa mioto na madogo hayo yote watu walivunga Sasa Kajichanganya kisa biashara ya hotel ndio yamekua haya na Bado lazima abaki kama Gaza ilivyo kwa sasaALitaka kumpiga na bastola, kiufupi hafai hata kidogo na ni mlevi wa pombe kupita kiasi
Unataka kutuambia Samia kajigeuza mahakama anawafutia watu makosa ya jinai? Unayoyaita makosa kwa Lema yalikuwa ya kubambikiwa kisiasa. Samia ni Rais anazo taarifa sahihi kuliko wewe. Hakurupuki kufanya maamuzi kwa kufuata umbea wa mitandaoni.We mwanaCCM jinai ni jinai tu. Kila mtu anatakibwa ashitakiwe kwa kosa alilotenda.
Ni mshirikina na mla rushwa atashindaMixa kupenda kupelekewa mioto na madogo hayo yote watu walivunga Sasa Kajichanganya kisa biashara ya hotel ndio yamekua haya na Bado lazima abaki kama Gaza ilivyo kwa sasa
Huyu anayejiita kamanda asiyechoka ni shoga ndiyo maana anaona mtoto wa watu kuingiziwa chupa makalioni ni sawa kwa vile yeye mwenyewe hana marindaAcha ujinga kwa hyo kumtia mtoto wa watu chupa ya makalio we unaona ni sawa?acha usenge
Kwenda zako huko. Lema hakutoa kauli za uchochezi huko Singida?Unataka kutuambia Samia kajigeuza mahakama anawafutia watu makosa ya jinai? Unayoyaita makosa kwa Lema yalikuwa ya kubambikiwa kisiasa. Samia ni Rais anazo taarifa sahihi kuliko wewe. Hakurupuki kufanya maamuzi kwa kufuata umbea wa mitandaoni.
Lema aliongea wapi uongo au u hichezi? Au ukweli ndo uchichezi. Nani asiyejua kuwa jpm kaua watu kibao akiwemo huyo aliyemsema. Ulitaka serikali ndo ije itamke kwamba ni kweli tumeua ndo uamini. Lini serikali ilikiri kuua. Uwe unatumia akili basiSitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇
===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."
ThibitishaLema aliongea wapi uongo au u hichezi? Au ukweli ndo uchichezi. Nani asiyejua kuwa jpm kaua watu kibao akiwemo huyo aliyemsema. Ulitaka serikali ndo ije itamke kwamba ni kweli tumeua ndo uamini. Lini serikali ilikiri kuua. Uwe unatumia akili basi
Utakalia hayo hayo ya thibitieha na mahakama zetu hizi za kupigiwa simu kutoka ikulu. Ingekuwa mahakama zipo huru ingeenda kuthibitisha mahakamaniThibitisha
Kwani humu huwezi kuweka video ya namna serikali inaua watu?Utakalia hayo hayo ya thibitieha na mahakama zetu hizi za kupigiwa simu kutoka ikulu. Ingekuwa mahakama zipo huru ingeenda kuthibitisha mahakamani
Kuna majaji humu?Kwani humu huwezi kuweka video ya namna serikali inaua watu?
Kwahiyo Gekul chupa angekuwekea wewe unduni ungemsamehe?Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.
Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.
Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.
Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]
===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."
Labda alizitoa akiwa kichogoni kwako huku amekuinamishaKwenda zako huko. Lema hakutoa kauli za uchochezi huko Singida?