Lema ulifutiwa makosa na Rais Samia lakini unataka Pauline Gekul ang'ang'aniwe. Tabia za kubebana msipende maana zinaharibu mfumo

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇

===
Alichoandika Godbless Lema "Mheshimiwa Rais SSH kuna mchezo unataka kufanywa Babati wa kutumia nguvu,fedha na ushawishi wenye hila ili kupotosha ukweli juu ya tukio lililofanywa na Mb Pauline Gekul. Najua una majukumu mengi, huwezi kuwa kila mahali kwa kufuatilia kila jambo.Lakini usiruhusu dhambi hii ya kijana kuingiziwa chupa ktk sehemu za siri ya haja kubwa ikashinda. Mungu atawachapa sana kwani yeye hadhihakiwi.Heshima kwako ni haki kushinda na sio image ya mtu."
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]View attachment 2827135
We pimbi ni Makosa yapi Lema alifutiwa? asubuhi asubuhi unakuja na post za michosho humu?;
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.👇View attachment 2827135
Mleta mada apuuzwe kama ambavyo amekuwa akipuuzwa siku zote. Ni jitu fulani lileta pumba hapa jukwaani siku zote.
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]

View attachment 2827135
Acheni upambe na siasa za maji taka. Tusitetee maovu kwa kisingizio cha siasa. Unyama alioufanya huyu Paulina ni wa kukemewa na anastahili adhabu. Hizo taaruki alizokusabishia Lema kama alisema uongo ni jambo jingine.
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]

View attachment 2827135
Wewe kwani huko CCM uliko hakuna wanaume hadi unawaota wanaume wa Chadema tu ?
 
Sitaki kuzungumzia kesi nyingi zilizokuwa zinamkabiri Lema. Ila nyingi ushahidi ulikuwa wazi.

Mfano uchochezi kule manyoni kuwa Serikali ilimuua kiongozi wa Chadema.

Lakini rais alimfutia kesi zake zoke.

Leo hii yeye analalama Gekuli kubebwa. Huu ni unafiki.[emoji116]

View attachment 2827135
Acha ujinga kwa hyo kumtia mtoto wa watu chupa ya makalio we unaona ni sawa?acha usenge
 
Back
Top Bottom