Atakuja sawa mtaaani ila ataishi kama digi digi yule mwengine wa Daslam.
Ardhi hii ba ndugu inapaswa uikanyage kwa adabu,sana.
Ipo siku utaogopa hata vishindo vya miguu yako mwenyewe.
Utamfanya nini?

Panya road tu wanawapeleka puta
 
Aione Tate Mkuu kwenye faili.
 
Suprise suprise mazafakaz the the serial killer is back !!
Waolikua wanaruka na pisi yake wajiandae kupigwa misumari ya utosini
 
Katika hali isiyo ya kawaida, vijana wa Ufipa wameanza kuwa na hofu kubwa baada ya sabaya kurudi uraiani.

Inaelezwa kuwa hawajui cha kufanya hadi sasa, ikumbukwe sabaya ndio alikua kiboko yao kwenye siasa zao za majitaka.

Sabaya alileta usawa wa kisiasa kwenye ngome zao Arusha na Moshi, hivyo kuwa mwiba mchungu hadi kwa mwenyekiti wa kudumu(mfalme).

Sabaya ni mtu safi, na mahakama imethibitish. Lakini sabaya sio mtu safi kwa wanasiasa wa Ufipa waliojaaa uongo, uzushi, na ubabaishaji wa kila aina.

Hivyo ni vizuri wakaelewa huu utakua mwisho wa uongo na uzushi wao baada ya Jemedari Sabaya kurudi uraiani.

Na hakika mahakama zipo huru kabisa na zimefanya kazi yake vizuri.

#SSH 2025# KAZI IENDELEEEEE#
 
Makonda naye atapelekwa Kisutu kwa ajili ya kusafishwa kama hivi kwa ajili ya maisha yake ya kisiasa hapo baadae.
 
CCM wajanja, wameamua kuwahamisha kutoka kujadili bei ya mafuta hadi kumjadili Sabaya
Hawa jamaa wana mafaili mengi sana ya kuhamisha watu kwenye reli na wanachagua lipi la kuachia kitegemeana na wakati.
Kwa hili lazima suala mafuta kupanda bei lazima liachwe pembeni kwa muda kuja kushituka lita 1 ya petroli imefika 6,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…