Sio wivu maofisini nidhamu mbovu kuna wapuuz hawaheshimu wake za watu ukutu akiongea kitu lazma amshike mkono mara koridoo ukipita matani utafikir hawapo kazn wakt wa chai lunch unakuta mke wa mtu anaenda na kinyago kula luch kissing hakuna nidham kama maisha unayaweza better abakie home usisubir fitnaWengine ni wivu tu,akiwaza alichowafanya Baltazary, anawaza kua na mkewe itakua ni hivyohivyo, ingawa ni ukweli kua UNATAKIWA USIWE NA WIVU,mfano mkeo labda ni nesi au askari,kuchapiwa ni kawaida sana.
'Kimasta' zaidi👊Jambo la mtu na mkewe mipango ya maisha yao wanavyotaka kuishi ni juu yao.
Ndoa ina faragha yake. Jambo baya ni mtu kulazimisha au kulazimishwa kitu tu.
Unaweza kujiona unawatetea sana wanawake waweze kufaya kazi, wakati wenyewe hawataki kufanya kazi nje ya nyumba wanataka kufanya kazi nyumbani.
Kifupi haya ni maamuzi ya faragha ya ndani ya ndoa, ambayo, watu wakishakubaliana tu, hayahitaji mjadala, hayahitaji justification. Ukitaka kuyaingilia ndiyo mwanzo wa kuvunja ndoa za watu.
Ni kama mtu akiamua kuwa dini fulani, katika muktadha wa imani, uamuzi huo ni uhuru wa kikatiba na kibinadamu. Ukianza hata kuuhoji uamuzi huo, kwenye muktadha wa imani, unakuwa umevunja faragha ya msingi wa mtu.
Tatizo watu wengi hawajui mipaka, hawajui faragha, hawajui kitu gani kinaweza kuhojiwa na kitu gani hakiwezi kuhojiwa.
Mtoa mada Bado ni mvulana sana hajielewi mwanamke ni mlinzi na mlezi wa familia. Swala la mwanamke kufanya kazi ni upuuzi sana wewe kama mwanaume ukiliribariki!!Siku akifa ndiyo atajua.
Mwanamke atakachoweza ni kuolewa na mwanaume mwingine.
Muulizeni Nikifa MkeWangu Asiolewe
Imagine wanawake millioni 1 wenye uwezo wa kufanya kazi wakae nyumbani kama magolikipa.Tuna maono na mitazamo tofauti. kiasi kila mtu abaki na misimamo yake.
Hivi Mke akiwa goli kipa shida ni yako au ya mume wake?
Living your real life through stereotypes!We oa mwajiriwa. Utatuletea mrejesho.
Sawa.Badilika mkuu una fikra za kale sana
Upo kwenye ndoa?Mda huo unawatunza na wazaziwake waliomsomesha Kwa tabu na shida nyingi?
Verily.Living your real life through stereotypes!
Must be such a burden.
Mkeo akiajiriwa Mwajiri huwa ndo boss namba 1.Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
You mean hakuna wanaume wa kuziba hizo nafasi?Imagine wanawake millioni 1 wenye uwezo wa kufanya kazi wakae nyumbani kama magolikipa.
Huoni tatizo kwenye uzalishaji na uchumi wa nchi kwa ujumla?
Inategemeana na kazi ya mkeo kama askar hapo ni kweli au nurse sawa ila kuna kazi mkeo akifanya hawezi kuitwa ovyo ovyoMkeo akiajiriwa Mwajiri huwa ndo boss namba 1.
Mwajiri ndo anayeamua muda gani Mkeo awe na wewe au hata kulala na mkeo inategemea mwajiri amruhusu.
Mwajiri ndo anayempangia safari mkeo na siku za wewe kulala na mkeo zitategemea ratiba ya mwajiri.
Unaweza kumwita mkeo chumbani ile unamvua chupi tu Boss anamwita ofcn
Sana na wanajutia kusikiliza ahadi hewa ila ndio hivo tena washapoteza ramani wanaishia kushinda makanisani.Wengi walioachishwa kazi wamekuwa watumwa kwa waume zao wamekuwa ovyo hawavutii kabisa na akili inadumaa kwasababu mda wote yupo nyumbana kazi yake kusafisha nyumba
Sio Askari tu, hata Mtendaji wa Kijiji, Secretary nk.Inategemeana na kazi ya mkeo kama askar hapo ni kweli au nurse sawa ila kuna kazi mkeo akifanya hawezi kuitwa ovyo ovyo
Mstari wa mwisho is like unaunga mkono uzi vile?Wengine ni wivu tu,akiwaza alichowafanya Baltazary, anawaza kua na mkewe itakua ni hivyohivyo, ingawa ni ukweli kua UNATAKIWA USIWE NA WIVU,mfano mkeo labda ni nesi au askari,kuchapiwa ni kawaida sana.
Siku ukiingia kwenye ndoa utaelewa tunachokiongea.Hapana
Lkn mtu nilienaye ndio yupo mistari wa mbele kuhakikisha nafika mbali anasemaga wazi kabisa anawish niwe vizuri financially niwe na biashara pia za maana na ananihudumia pia kma kawaida
Mxieeeeww 😹😹Mtendaji wa kata
Inategemea na mwanaume na mentality yake na uwezowake wa kumanage mkewe akae kwenye mstari anaotaka yeyeSiku ukiingia kwenye ndoa utaelewa tunachokiongea.
Nimeuliza ukimuachisha kazi unakuwa unatunza wazee wake km unavowatunza wako?Siku ukiingia kwenye ndoa utaelewa tunachokiongea.