Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #141
Kwahy wao kazi yao kula kulala na kulea watoto?Sijui ni Maendeleo gani unayoyataka.
Mimi nina mamlaka kamili kwa wake zangu wote.
Nalala nao nnapotaka bila mtu mwingine kuwapangia ratiba eti arudi nyumbani kwa kuruhusiwa na boss wake! Lol!
I'm the only boss to my wives and enjoy the life na sioni nakosa Maendeleo gani unayoyataka wewe
Wivu upo lakini sio hivyo kama ufikilivyoKama Huna Wivu Kwa Nini Uamue Kufuga Binadamu Ndani?Hiyo Tv yako Una wivu Nayo Sembuse Mke ! Vijana wa Sasa Hamna mlijualo Mapenzi bila Wivu Ni sawa na Gari bila Matairi Na ukijiona huna Wivu Jua Ndoa sio Size Yako Nenda kajimalize kule kwa Buku 3.
Nacho kataa mimi ni kumuachisha kazi then anakuwa mama wa nyumbani ata biashara afanyiMimi naunga mkono wanaume wanaowaachisha kaz za kuajiriwa wake zao na kuwafungulia biashara. Ndugu mwandishi utachagua ww km mume umuongoze au boss wake kazini ndio amuongoze.
Hata mimi hicho nakataaNacho kataa mimi ni kumuachisha kazi then anakuwa mama wa nyumbani ata biashara afanyi
Kwa Wanawake Wapo Kwenye Makundi Mawili tu (1) .Kwa Ajili ya Kujenga Familia Na Kuendeleza Kizazi.(2).Chombo Cha Starehe Visababisha Matatizo.Uko Kundi Gani mi Sijui.Yani mzee wangu kala msoto kunilipia ada havai vizuri hatuli kuku Nije nipate kazi mtu aniambie acha kazi 😄😄😄😄
Kwani mi Nikiwa Sina Kazi we Utatunza Baba Na Mama Yangu?Mda huo unawatunza na wazaziwake waliomsomesha Kwa tabu na shida nyingi?
Kujenga familia pamoja na nyumba yanguKwa Wanawake Wapo Kwenye Makundi Mawili tu (1) .Kwa Ajili ya Kujenga Familia Na Kuendeleza Kizazi.(2).Chombo Cha Starehe Visababisha Matatizo.Uko Kundi Gani mi Sijui.
We kinakuuma nini? muache mke wako akafanye kazi sio wake zetu, Ili pia kusiwe na upinzani auze sana akiwa peke yake, maadam mwenyewe ameelewa ameacha kazi wewe nini kinakuwasha washa? Wanawake zetu ni wafalme wanaume tunawajibika tunawatunza wapendeze tuwafaidi, sio tuwatoe juani wapauke kwa biashara gani? Kwa kazi gani?Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi.
Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio wana pata shida kutunza familia mbili.
Bila shida wazazi wangu ni wake na wake ni wangu pia Tena nawish nikubalike kwao sana niweze kupata nafas ya kuwatunza inshallahKwani mi Nikiwa Sina Kazi we Utatunza Baba Na Mama Yangu?
Ukisha Sema Upo Basi Usipangie Kiwango Cha wivu Kwani Hujui kiwango Cha Mapenzi Ya Mtu juu Ya Aliyempenda Moyoni Mwake.Dogo Ukikuwa Utaelewa!Wivu upo lakini sio hivyo kama ufikilivyo
Wewe ulieiona hiyo shida hangaika nayo, I’m good thanks 🙄Kuna Sehemu Una Shida Jaribu Kuitafuta.
Wewe hata kuandika hujui, piss off.Wewe kielewa hapa inahitajika juhudi ya ziada sana
Unakataa wewe kama nani?Nacho kataa mimi ni kumuachisha kazi then anakuwa mama wa nyumbani ata biashara afanyi
Kwa nini usingesema milevi ya pombe?Mtoto kumlea unamlea katika hali yoyote ile na atapata malezi bora wangapi tunaona wake wamefanya ni walezi wa watoto ila watoto wamekuwa mivuta bangi na mama zao wanawalea
Nakuacha Nayo Uangaike Nayo.Wewe ulieiona hiyo shida hangaika nayo, I’m good thanks 🙄
Well noted. Kila mtu ashinde mechi zake.Tuna maono na mitazamo tofauti. kiasi kila mtu abaki na misimamo yake.
Hivi Mke akiwa goli kipa shida ni yako au ya mume wake?
Hii Kauli Inatoka Karibu Na Ulimi Ukitokea kwa Ndani Wala haitoki Moyoni .Bila shida wazazi wangu ni wake na wake ni wangu pia Tena nawish nikubalike kwao sana niweze kupata nafas ya kuwatunza inshallah
Kwanini?Hii Kauli Inatoka Karibu Na Ulimi Ukitokea kwa Ndani Wala haitoki Moyoni .
Kwanza Naomba Kukuuliza Kwa Nia Njema Tu Umeolewa?Au Umewahi Kuishi Na Mwanaume Angalau Mwaka Mmoja?Kujenga familia pamoja na nyumba yangu
Siwez msumbua mumewangu et kununua sufuria ama bakuli zikivunjika siwez msubir aje ndo nimpe mtoto dawa akiumwa nae binadamu anachangamoto pia atapitia lazima nimsapot
Na kizazi nitakiendeleza kuhus kundi utajua wewe uniweke wapi
Mmeshakubaliana kwamba wanaume ndo huanza kufa.Siku akifa ndiyo atajua.
Mwanamke atakachoweza ni kuolewa na mwanaume mwingine.
Muulizeni Nikifa MkeWangu Asiolewe