Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Mmeanza yale yale ya "jeshi lipo nyuma yenu"
 
Ni kukumbushana tu mdogo wangu. Hasira ya nini?

Minyumbu ukweli kwao ni dhambi kubwa❗️Mshangao uwongo ni Ibada yenye unyenyekevu kwao
Ukisema kweli kosa 🫎‼️

Msifie Lissu sasa Waambie kwa Utukufu wa Tundu Lissu yumkin YESU kamuondoshea adhabu ya kwenda haja kubwa
Usikie kama
hawatojibu Aleluyaaaaa 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
 
Lissu lazima amwage moto mwingi ili madudu ya serikali yajukikane. Yule jamaa anaweza akafikiria kwamba, hata kama watanifunga ila na mimi nimeanika madudu yao, ningefurahi angesaidiwa na Kibatala.
 
Unajua ulichokiandika?
 
TZ hakuna Jeshi. Kuna kigenge tu kinachoendeshwa na Abdul na Khaji Omar Kheir.

Ila askari wema wapo.
Kwa hyo ili jeshi lionekane lipo sawa lilitakiwa kuungana na redbrigade na wale vibaka kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na kwa shilole?

Hv mnadhani wale ni bavicha?

Kwanza mlitakiwa kufa wengi sana ili akili ziwakae vzr.
 
Addrees ya CDF inajulukana, kwanini hiyo order itolewe kwa Brigades na vikosi vyote?
 
Kwa hyo ili jeshi lionekane lipo sawa lilitakiwa kuungana na redbrigade na wale vibaka kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na kwa shilole?

Hv mnadhani wale ni bavicha?

Kwanza mlitakiwa kufa wengi sana ili akili ziwakae vzr.
Ndugu usiongee haya kwakuwa tu hukupoteza mpendwa wako. Hivi unajua kuna watu waliuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kibanda umiza wakifuatilia zao burudani ya mpira wala hawakuwa na nia yoyote mbaya?

Unajua kuna watu waliuawa vibarazani mwao? Hivi kwanini mnakosa utu mnageuka mashetani kisa tu mabwana zako wakalie kiti?
 
Hawo mafisi unafikiri wanaakili hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…