Leo hii nimetapeliwa

Mkuu natoa ajira mshahara million 10 kwa mwezi nicheki nawe uwe young millionaire. Fee yangu 15,000 tu🤣🤣
Kwanini usitafute ndugu zako wa huko matako bar wafanye hiyo kazi
 
Ukipenda vya kunyonga utaendelea kupigwa Sana

Ubongo wa Bata then mnaigiza Maisha kwa kula mmea mwisho wa siku mnapata homoni za kutaka mtelezo

Wewe uliona wapi GB 40 ukazipata kwa elfu 15K
Ila mkuu mmea umekufanyaje??Au ulishawahi kukufanyia vibaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…