APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
- Thread starter
- #61
Kama bado unakaa home na wqzazi wako usinifananishe mimi na weweAmekaribia kuuza sufuria na vijiko vya mamake apate ya kununua bangiš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama bado unakaa home na wqzazi wako usinifananishe mimi na weweAmekaribia kuuza sufuria na vijiko vya mamake apate ya kununua bangiš¤£
š¤£š¤£š¤£š¤£ umejuaje nimeisha??au umenipa nikashindwa kusafisha vinzuriUmeona sasa ? We ushaisha
Matapeli wanajua kutukana hakuna mfanoš¤£Kuna mmoja alijifanya Dc wa wailaya X sijui alipata wapi namba ananiambia nimtafutie vijana wawili waliomaliza chuo degree ila wawe wamepitia JKT mara ya kwanza nilijua ni kweli ila kutokana na code alizokuwa ananipa machale yakanicheza nikamwambia kuna msela afuatilie hizo namba si nikaambiwa ni tapeli mkubwa tena wanamvizia wamshike nikamcheki kistaarabu nikamwambia nimeshtukia mchezo wako wazee matusi najua ila toka nimezaliwa sija wahi kutukanwa vile kama huyo mtu anasoma hapa heshima yako mkuu ila?
Neema ya Mungu naomba ukushukie upate Kuishi katika Haki na kweliš¤£š¤£š¤£š¤£ umejuaje nimeisha??au umenipa nikashindwa kusafisha vinzuri
Amen baba mtumishiNeema ya Mungu naomba ukushukie upate Kuishi katika Haki na kweli
Huwezi kuto elfu tano then utake mchele kilo ishirini!!
Usirudie kupendwa dezo.......kama mademDaaaah sona habari na nyiee...
Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
View attachment 2472149
Tatizo kujisahauUsirudie kupendwa dezo.......kama madem
Nafurahia napoona wajinga hawaishiUnafurahia mini kutapeliwa??
Mm mwenyewe nishawahi kuwa tpKwani haujawahi kutapeliwa
Chalii wa r u atapeliwaje kijinga hvDaaaah sona habari na nyiee...
Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
View attachment 2472149
Short and clearKwenye maisha usipende rahisi ndugu
Jamaa ame act kibwege sana. Yaani utapeli huo ni kama umetoka Muheza jana au Sitimbi. Mtoto wa Town unaamini upuuzi kama huo? Anyway APPROXIMATELY una tsh ngapi nimwoneshe sisi watu wa Pemba tunafanyaje... Atakutafuta namba uliyotumia kumtumia pesa si ipo hewani? Atakutafuta huku analia nakwambia. Nitumie tu namba yake na pia nitumie tsh 25,000 tu nimtumie Mtaalamu hapo Bagamoyo.Chizi Maarifa ngoja aje akusaidie hyuu mwamba