Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mijitu ina ROHO mbaya sana.Wameshachinja wane tayari....tuko msibani
Naunga mkono hojaWakuu
Kichwa cha uzi chahusika. Leo hatutaki kusikia sijui Lissu yupo wapi, sijui Lissu kafanya nini. Tunachotaka kusikia ni je mawakala wote wa upinzani wameapishwa au la?
Itakuwa ni ujinga uliopitiliza kumsikiliza Lissu huku jambo la muhimu zaidi likiachwa.
Nitaongea mengine baadae lakini kwa sasa nisiwachoshe.
Kwahiyo hata kama hawajatimiza vigezo waapishwe tu? Acheni mambo yenu bwana. EboWameshaanza
Aman aman amanMimi nimejiandaa na kidumu cha Petroli iwapo Wakala wangu hatoapishwa.
Amani itavunjwa na NEC/ ZECAman aman aman
Makao makuu ya kata ni tarafa? hii mpya ndio kwanza nimeisikia kwako.Mbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?
Ninyi NEC mnataka kuifikisha nchi wapi? Mbona hamsikii?“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.
“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
UPDATES ====•
Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
#MwananchiUpdates.
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi
Kaka nimeuliza swali.Makao makuu ya kata ni tarafa? hii mpya ndio kwanza nimeisikia kwako.
Bavicha bhana
Duh, kwa kweli CCM imejaza majitu majinga majinga! Yaani makao makuu ya Kata ni Tarafa?Mbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?
Raia wachinje mkurugenzi mmojawapo iwe fundisho kwa wengine!Morogoro mjini nasikia wamegoma kuapisha wakala wa CHADEMA na raia zipo chini zinasubiria majibu
View attachment 1607336
Sio Upole, Wengi ni Mazuzu.Hatutafanya chochote sisi ni wapole