Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi


Sarcasm? 🤔
 
Yaani aue maelfu ya watu apone mmoja ili tu aoneshe uwezo wake? Haileti maana yoyote ile. Kwanini ahitaji kujua wengi ili aoneshe uwezo wake?
 
Kuna watu ni wabishi yaani. Imagine jamaa kaka miezi mitatu anabishana na Israel mtoa roho na amemshinda.

Huyu jamaa anatakiwa kupewa kwanza hadhi ya juu sana ya kishujaa. Halafu apewe mwandishi mzuri sana wa vitabu aandike story yake.
 
Alikuwa anakula Nini?
Kuna wale jamaa watatu walikwama kwenye kifusi Kahama miezi karibia mitano,walipotolewa wakasema walikuwa wanakula mende na wadudu mbalimbali na kunywa mikojo yao.

Baada ya kutolewa mmoja alifia hospital wawili wali-survive
 
Umeamua ulete fiction ili tu umpe points 3 allah?
 
Labda kama alifukiwa akiwa jikoni au store ya vyakula. Tofauti na hapo itabidi aeleze vizuri maelezo yakueleweka.
 
Turkiye sasa wapo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu... Inawezekana mleta mada anasapoti chama tawala Ili kionekane kimefanya kazi kubwa. Ukiona hivyo ujue hali tete kwa chama tawala
 
Yaani aue maelfu ya watu apone mmoja ili tu aoneshe uwezo wake? Haileti maana yoyote ile. Kwanini ahitaji kujua wengi ili aoneshe uwezo wake?

Namhala.

Jaga ūgasome Īlilagīlo lya Kale ūmuBibilia. Līmulungu lyabūlagaga banhū jihūmbī na jihūmbī na gūpīja banhū bagehu guke!

Līwelelo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…