Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Aisee inakera ,Kun mtu alinipa KADI .Sikuchangia ,na hakika wakati huo nilikuwa juu ya nawe! Akiwa honeymoon Dubai alinitumia ujumbe akiniuliza ..Vipi Mkuu mbona hukunichangia?!😠😠
Eheheheh
Bila shaka alipokuuliza alikuwa juu ya kifua cha mwenzake
 
Ugonjwa au matibabu kila Mtu anabidi achangie hapa Ila kuhusu msiba au kifo au harusi nikulazimisha vitu maana Mtu akifa lazima atazikwa haijalishi kafia wapi as the same Mtu akiamuoa kuoa ataoa tu hata bila michango ya wadau it all about fucking mind kulazimisha mambo na kusumbua watu.

Personally mgonjwa ndo anabidi kuchangiwa na kuhudumiwa [emoji817]% ila Cha Ajabu watu wapenda sifa huwa wanachangia msiba tu ila Mtu akiumwa hawana habari naye .
We ujaishi mtaa wa kaza moyo.
Unajaribu tu kuongea kama umetoka chuo juzi
 
Mimi huwa sichangii mchango wa harusi wala maziko.

Uislam mwema sana. Harusi ni ndoa na mshahidi wawili msikitini inatosha, kama una uwezo wa kuwakirimu watu fanya karamu. Kama hauna uwezo usichangiishe mtu.

Maziko ndiyo kabisa, kinachotakiwa kimzike mtu ni chake mwenyewe alichowacha.

Watu siku hizi wanajifaharisha wakati hawaimudu fahari.

Tujikune tunapofikia.
 
Aisee watu wengn bn! Jana kuna mwamba moja anatembeza picha ya jamaa kamwekea X anadai kafariki tushikane mikono wadau....tukamuuliza jamaa ni wapi akawa anatoa maelezo jamaa mwingine akatokea hapo akasema huyo mtu alishazikwa kitambo mchangishaji alitoka nduki
Eheheheh
Hatari.
Unanikumbusha mwamba wa Ukonga aliyeweka X nyekundu picha ya kaka yake na kupita kukusanya shekeli.
Alipata nyingi mwishowe bro akatonywa kilitembea kichapo
 
Mimi huwa sichangii mchango wa harusi wala maziko.

Uislam mwema sana. Harusi ni ndoa na mshahidi wawili msikitini inatosha, kama una uwezo wa kuwakirimu watu fanya karamu. Kama hauna uwezo usichangiishe mtu.

Maziko ndiyo kabisa, kinachotakiwa kimzike mtu ni chake mwenyewe alichowacha.

Watu siku hizi wanajifaharisha wakati hawaimudu fahari.

Tujikune tunapofikia.
Waislamu mmenyooka sana kwenye mambo mengi
 
Ila kumbuka ukifiwa ,ukiumwa usitembeze bakuri au kusindikizwa kwenye mazishi.
Mtego unaanzia hapo sio Sheree tu
Mkuu ugonjwa na kifo havina mjadala huwa dharura. Lakini harusi au ndoa ni sio suala la dharura.
Unakuta mtu anataka kuoa familia ya muoaji inatamka kabisaa kikaoni ina laki 1 tu halafu watu wengine ndo wachange mamilioni hadi MAHARI !
Unadhani hilo njemba likioa litamthamini huyo mke? Wakati hata halijui gharama za kuoa zimetoka wapi?!!
Kiukweli ninakerwa sana na michango ya aina hii ni michango ya hovyo.

TUCHANGIANE KWENYE MISIBA NA MARADHI NA MICHANGO ISIWE YA ANASA
 
Mimi huwa sichangii mchango wa harusi wala maziko.

Uislam mwema sana. Harusi ni ndoa na mshahidi wawili msikitini inatosha, kama una uwezo wa kuwakirimu watu fanya karamu. Kama hauna uwezo usichangiishe mtu.

Maziko ndiyo kabisa, kinachotakiwa kimzike mtu ni chake mwenyewe alichowacha.

Watu siku hizi wanajifaharisha wakati hawaimudu fahari.

Tujikune tunapofikia.
Ni kweli Uislam ,ingawaje Si uamini 😁 upo realistic kwenye masuala mengi tu! Ungekuwa mjadala wa Dini ningetolea mfano ...Good morning Faiza Foxy !
 
Mkuu ugonjwa na kifo having mjadala huwa dharura. Lakini harusi au ndoa ni sio suala la dharura.
Unakuta mtu anataka kuoa familia ya muoaji inatamka kabisaa kikaoni ina laki 1 tu halafu watu wengine ndo wachange mamilioni hadi MAHARI !
Unadhani hilo njemba likioa litamthamini huyo mke? Wakati hata halijui gharama za kuoa zimetoka wapi?!!
Kiukweli ninakerwa sana na michango ya aina hii ni michango ya hovyo.

TUCHANGIANE KWENYE MISIBA NA MARADHI NA MICHANGO ISIWE YA ANASA
Binadamu unawafahamu au unawasikia.

Unaweza ushiriki kwenye msiba alafu kosa dogo mfano ushindwe kula,kukesha msibani au kujitenga basi tambua watafanya hivo.

Hata ilo la Sheree tu wanaweza kukuchukulia
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa hharusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui.
Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina ?
Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupo?
Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi.
Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela?.
Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea?
Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu.
Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka.
Ukiwa na pesa utaweza kufanyia hharusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa jf nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Nimeitafuta sana hiyo ID sikuipata, ilisheheni mawazo mazuri sana! Mkuu naomba kama ninaweza kuipata tena nipitie zile content zilizopo kwenye tharead ya mawazo mbalimbali ya biashara
 
Back
Top Bottom