Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeenda mkuuUgonjwa au matibabu kila Mtu anabidi achangie hapa Ila kuhusu msiba au kifo au harusi nikulazimisha vitu maana Mtu akifa lazima atazikwa haijalishi kafia wapi as the same Mtu akiamuoa kuoa ataoa tu hata bila michango ya wadau it all about fucking mind kulazimisha mambo na kusumbua watu.
Personally mgonjwa ndo anabidi kuchangiwa na kuhudumiwa [emoji817]% ila Cha Ajabu watu wapenda sifa huwa wanachangia msiba tu ila Mtu akiumwa hawana habari naye .
Hivi kwanini huwa tunakesha misibani na wengine kulala kabisa yaani unakuta nyumba full watu wamelala hadi jikoni.Binadamu unawafahamu au unawasikia.
Unaweza ushiriki kwenye msiba alafu kosa dogo mfano ushindwe kula,kukesha msibani au kujitenga basi tambua watafanya hivo.
Hata ilo la Sheree tu wanaweza kukuchukulia
Kwani kwenye ukristo imeandikwa wapi ndoa au harusi kuwe na sherehe kubwa.kweli Uislam ,ingawaje Si uamini 😁 upo realistic kwenye masuala mengi tu! Ungekuwa mjadala wa Dini ningetolea mfano ...Good morning Faiza Foxy !
Hayaja ndikwa lakini tunayatekeleza sambamba na Ukristo!Kwani kwenye ukristo imeandikwa wapi ndoa au harusi kuwe na sherehe kubwa.
Imeandikwa wapi mazishi yawe ya gharama au msiba uwe wa siku nyingi kabla ya mazishi?
Yale yote yenye gharama kwa wakristo ni kujitakia. Shela na sutikwe ye ndoa siyo lazima.
Sanduku la kuzikia na sutiya marehemu nianasa tu. Mkristo anaweza zikwa hata na gunia au akiwa mtupu au akachomwa moto tu.
Pamoja sana.Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui.
Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Kwani kasema hatoi rambirambi,hachangii matibabu,hachangii watoto yatima?Ila kumbuka ukifiwa ,ukiumwa usitembeze bakuri au kusindikizwa kwenye mazishi.
Mtego unaanzia hapo sio Sheree tu
100%Ugonjwa au matibabu kila Mtu anabidi achangie hapa Ila kuhusu msiba au kifo au harusi nikulazimisha vitu maana Mtu akifa lazima atazikwa haijalishi kafia wapi as the same Mtu akiamuoa kuoa ataoa tu hata bila michango ya wadau it all about fucking mind kulazimisha mambo na kusumbua watu.
Personally mgonjwa ndo anabidi kuchangiwa na kuhudumiwa 💯% ila Cha Ajabu watu wapenda sifa huwa wanachangia msiba tu ila Mtu akiumwa hawana habari naye .
Ila kumbuka ukifiwa ,ukiumwa usitembeze bakuri au kusindikizwa kwenye mazishi.
Mtego unaanzia hapo sio Sheree tu
Unajifanya umesahau siyo! Wewe mbona tulikuchangia harusi yako.Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui.
Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
[emoji1787][emoji1787]Aisee watu wengn bn! Jana kuna mwamba moja anatembeza picha ya jamaa kamwekea X anadai kafariki tushikane mikono wadau....tukamuuliza jamaa ni wapi akawa anatoa maelezo jamaa mwingine akatokea hapo akasema huyo mtu alishazikwa kitambo mchangishaji alitoka nduki
[emoji1787][emoji1787]Mchango tu maneno kibao kwani ukitoa singo tu Kuna ubaya, kwani kuchangia harusi hajabu huko ndo kushirikiana na staff wenzio kwa shida na Raha.
[emoji106]Ugonjwa au matibabu kila Mtu anabidi achangie hapa Ila kuhusu msiba au kifo au harusi nikulazimisha vitu maana Mtu akifa lazima atazikwa haijalishi kafia wapi as the same Mtu akiamuoa kuoa ataoa tu hata bila michango ya wadau it all about fucking mind kulazimisha mambo na kusumbua watu.
Personally mgonjwa ndo anabidi kuchangiwa na kuhudumiwa [emoji817]% ila Cha Ajabu watu wapenda sifa huwa wanachangia msiba tu ila Mtu akiumwa hawana habari naye .
[emoji106]Najua wanawake mnapenda sana sherehe nilitegemea comment ya mwanamke iwe hivi
Ndio maana ndoa zinawashinda mnapenda HARUSI kuliko NDOA
Loooh [emoji1787][emoji1787]Aisee inakera ,Kun mtu alinipa KADI .Sikuchangia ,na hakika wakati huo nilikuwa juu ya nawe! Akiwa honeymoon Dubai alinitumia ujumbe akiniuliza ..Vipi Mkuu mbona hukunichangia?![emoji34][emoji34] Qu ...ma.....
[emoji2956]Mkuu ugonjwa na kifo havina mjadala huwa dharura. Lakini harusi au ndoa ni sio suala la dharura.
Unakuta mtu anataka kuoa familia ya muoaji inatamka kabisaa kikaoni ina laki 1 tu halafu watu wengine ndo wachange mamilioni hadi MAHARI !
Unadhani hilo njemba likioa litamthamini huyo mke? Wakati hata halijui gharama za kuoa zimetoka wapi?!!
Kiukweli ninakerwa sana na michango ya aina hii ni michango ya hovyo.
TUCHANGIANE KWENYE MISIBA NA MARADHI NA MICHANGO ISIWE YA ANASA
Nimeitafuta sana hiyo ID sikuipata, ilisheheni mawazo mazuri sana! Mkuu naomba kama ninaweza kuipata tena nipitie zile content zilizopo kwenye tharead ya mawazo mbalimbali ya biashara
...Kuwaita Wajinga unakosea kidogo... Waite WAPUMBAVU ![emoji35]Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.