Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Moja kwa moja kwenye mada.

Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.

Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.

Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.

Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.

Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?

Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.

Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.

Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.

Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Tamaduni za kijima na kijamaa zifutwe.

Kama mtu hana pesa ya kufanya harusi kubwa, afanye ndogo tu kama ulivyofanya wewe.

Kitu muhimu ni ndoa, harusi ni sherehe tu.

Ila, kwetu kuna ugumu sana kiutamaduni.

Kuna rafiki yangu mmoja alijiandaa vizuri kugharamia harusi yake. Akasema hatachukua mchango wa mtu, na kama kuna mtu anataka kuchangia harusi, kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji, achangie kijiji hicho badala ya harusi (wala si kwao, alichagua tu kijiji).

Mimi nikafikiri watu wataufurahia sana mfano huu wa mtu kugharamia harusi yake mwenyewe. Kawapunguzia michango.

Nikashangaa sana kuona baadhi ya jamaa walianza kulalamika kwamba huyu bwana anajiona sana, kawakataza watu kushirikiana naye kwenye harusi yake!
 
Me nashangaa kuna familia unasikia mtoto kafaulu lkn mzazi kashindwa gharama za shule, huwa najiuliza ule mshikamano wa kuchangishana kwenye harusi kwanini usifanyike kwenye jambo muhimu kama hili? Kama mnaweza kuchangishana mpaka million 20 kwanini mtoto akose chuo kisa kakosa mkopo wa heslb?
 
Tamaduni za kijima na kijamaa zifutwe.

Kama mtu hana pesa ya kufanya harusi kubwa, afanye ndogo tu kama ulivyofanya wewe.

Kitu muhimu ni ndoa, harusi ni sherehe tu.

Ila, kwetu kuna ugumu sana kiutamaduni.

Kuna rafiki yangu mmoja alijiandaa vizuri kugharamia harusi yake. Akasema hatachukua mchango wa mtu, na kama kuna mtu anataka kuchangia harusi, kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji, achangie kijiji hicho badala ya harusi (wala si kwao, alichagua tu kijiji).

Mimi nikafikiri watu wataufurahia sana mfano huu wa mtu kugharamia harusi yake mwenyewe. Kawapunguzia michango.

Nikashangaa sana kuona baadhi ya jamaa walianza kulalamika kwamba huyu bwana anajiona sana, kawakataza watu kushirikiana naye kwenye harusi yake!
Hiyo nzuri. Jamaa yuko smart
 
Tuwe wakweli tu, mtu unayemchangia si ajabu ana nyumba yake, wewe unaelazimishwa kuchanga hata kiwanja huna. Ni sawa na hawa ombaomba wao wana nyumba zao wamepangisha . Hili mimi nimewasikia wao wenyewe ombaomba wakiongea. Sasa wewe unayejifanya una huruma sana unawachangia ilhali huna hata kiwanja. Hawa tunaowapa sadaka mitaani sio maskini hawa ji ombaomba. Tofautisha ombaomba na masikini. Una sadaka unataka kutoa nenda hospitali kuna mamia ya watubwanakufa kwa njaa hawana wa kuwasaidia. Wanunulie angalau mikate na soda . Hapo ocean road ndio usiseme . Lazima ulie na machozi yakutoke. Nawasilisha.
 
Tamaduni za kijima na kijamaa zifutwe.

Kama mtu hana pesa ya kufanya harusi kubwa, afanye ndogo tu kama ulivyofanya wewe.

Kitu muhimu ni ndoa, harusi ni sherehe tu.

Ila, kwetu kuna ugumu sana kiutamaduni.

Kuna rafiki yangu mmoja alijiandaa vizuri kugharamia harusi yake. Akasema hatachukua mchango wa mtu, na kama kuna mtu anataka kuchangia harusi, kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji, achangie kijiji hicho badala ya harusi (wala si kwao, alichagua tu kijiji).

Mimi nikafikiri watu wataufurahia sana mfano huu wa mtu kugharamia harusi yake mwenyewe. Kawapunguzia michango.

Nikashangaa sana kuona baadhi ya jamaa walianza kulalamika kwamba huyu bwana anajiona sana, kawakataza watu kushirikiana naye kwenye harusi yake!
Michango Huwa mitego ya kulazimishwa ushirika hasa ukiwa umefanikiwa, kwenu mnauwezo, au unakazi nzuri, watu wanakuchangia kwa sifa wakiamini watakuweka wewe au familia yenu kama wadeni wa Ile michango,
 
Mtoa mada lazima ni jobless, ana stress.
Nyinyi ndio mnaemdekezq tabia ya ombaomba, kama huwezi fanya harusi kwa pesa zako mwenyewe acha, tabianya kuomba michango ya harusi imepitwa na wakati. Harusi ni jambo binafsi l qmtu na siyo kusumbua watu. Hii tabia ya kuombaomba naon aiko damuni, ndio maan ahadi viongozi nao wanazunguka nje ya nchi kutembeza bakuli. Ni kukosa akili.
 
No wonder hajui jina lako inaonekana una ujivuni ambao hata ye kukupa aliogopa (Haiba Yako si nzuri)
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.

Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.

Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.

Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.

Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?

Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.

Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.

Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.

Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Shida ni pale unapoamua kumsupport mtu halafu unaenda ukumbini unakutana na Pepsi take away moja na vindizi 2 vya kukaanga wakati kadi iliandikwa double 100,000 na ukatoa
 
Unaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka.

Ulivyo mjinga unafanya na sherehe kabisa ya harusi ukumbini ukila, kunywa, ukicheza na kumtambulisha malaya kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki uliowaalika ukumbini

Ulivyo mjinga kabla ya kuteketeza mamilioni ukumbini ulimlipia mahari kubwa na wazazi wake wakakukabidhi malaya? Kweli hii ni akili au matope?

Kabla ya harusi unamnunulia malaya wedding gown, viatu na gharama ya salon apendeze siku ya harusi. Wewe ni mwanamume mjinga

Unapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili uoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela

Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema "please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?

Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke

Iko hivi nyie mliooa kwa gharama huyo mwanamke ulijisumbua na kupoteza pesa zako bure

Huyo mkeo ni malaya she's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla yako na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana

Wewe kwa ujinga na kiherehere chako eti umeenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa. Una akili kweli?

If she slept with other men for free should be offered for free
 
Unaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka

Leo ulivyo mjinga unamlipia mahari kubwa na wazazi wake wanakukabidhi malaya? Kweli hii ni akili au matope?

Unamnunulia malaya wedding gown na viatu apendeze siku ya harusi. Wewe ni mwanamume mjinga

Unapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili uoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela

Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema "please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?

Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke

Iko hivi nyie mliooa kwa gharama huyo mwanamke ulijisumbua na kupoteza pesa zako bure

Huyo mkeo ni malaya she's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla yako na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana

Wewe kwa ujinga na kiherehere chako eti umeenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa. Una akili kweli?

If she slept with other men for free should be offered for free

Umeoa mkuu?? Hakuna mwanamke used mkuu.... ukishatumiana mnakuwa maused ma2, lakini mkienda kwa mwengine unakuwa mpya na unakuwa na thamani!!!!

Sisi wanaume wenyewe ni balaa tupu kwann mwanamke ndo anakuwa malaya? Sisi wanaume tunakuwa wakina nani?
 
Mwanamume ndiye anayeoa sio mwanamke

Mmwanamke kama ameshatumika ni used

Cha ajabu wanetu wanatumia gharama kubwa sana kuweka ndani mwanamke ameshapigwa sana miti na bado ataendelea kupigwa miti
 
Kama Mungu amemsamehe huyo mwanamke akampa mwanaume bora tena unused , mimi ni nani nimpinge?
Tatizo tunajipa justifications zisizokuwa na msingi , we hujaharibu mwanamke yeyote?
Mungu hana cha kupoteza yeye atamsamehe ila shida kwako uliyeoa malaya. A hoe is forever a hoe
 
Back
Top Bottom