Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #121
Mwanangu palitokea bonge la patashika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila watu kha!
dogo kaweka li X jekundu kwenye picha ya bro. Si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu palitokea bonge la patashika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila watu kha!
Umeoa mkuu?? Hakuna mwanamke used mkuu.... ukishatumiana mnakuwa maused ma2, lakini mkienda kwa mwengine unakuwa mpya na unakuwa na thamani!!!!
Sisi wanaume wenyewe ni balaa tupu kwann mwanamke ndo anakuwa malaya? Sisi wanaume tunakuwa wakina nani
Hapana anasema ukweli! Utalipiaje mahari mwanamke used malaya ambaye hujamkuta na bikra! Huyo ni mzoga peleka ndani kimyakimya akusaidie kusukuma Kirobati cha sembe na maharagwe! Mwanamke kuolewa bira bikra ni uhaini!Mtoa mada lazima ni jobless, ana stress.
Ukweli ndio huo mkuKwani alikuambia kwamba hataki kuoa malaya?
Kwa nini unajipa umuhimu kwenye ndoa za watu usiowajua, kuwapa ushauri ambao hawajakuomba, kuhusu mambo usiyoyaelewa?
Ukweli ndio upi? Mengi yameandikwa hapa, unapoandika "huo" unamaanisha nini? Unahakiki vipi huo ukweli ujue kuwa ni ukweli halisi na si maluweluwe unayoyaona wewe tu?Ukweli ndio huo mku
Moja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Tamaduni za kijima na kijamaa zifutwe.
Kama mtu hana pesa ya kufanya harusi kubwa, afanye ndogo tu kama ulivyofanya wewe.
Kitu muhimu ni ndoa, harusi ni sherehe tu.
Ila, kwetu kuna ugumu sana kiutamaduni.
Kuna rafiki yangu mmoja alijiandaa vizuri kugharamia harusi yake. Akasema hatachukua mchango wa mtu, na kama kuna mtu anataka kuchangia harusi, kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji, achangie kijiji hicho badala ya harusi (wala si kwao, alichagua tu kijiji).
Mimi nikafikiri watu wataufurahia sana mfano huu wa mtu kugharamia harusi yake mwenyewe. Kawapunguzia michango.
Nikashangaa sana kuona baadhi ya jamaa walianza kulalamika kwamba huyu bwana anajiona sana, kawakataza watu kushirikiana naye kwenye harusi yake!
Wanaume wanaoa malayaUkweli ndio upi? Mengi yameandikwa hapa, unapoandika "huo" unamaanisha nini? Unahakiki vipi huo ukweli ujue kuwa ni ukweli halisi na si maluweluwe unayoyaona wewe tu?
Mtu akikwambia yeye kuoa malaya poa tu, kwanza yeye mwenyewe malaya pia, utasema nini?
Mkuu,Kiranga,
Kuchangia sio lazima ukiweza changa kama huwezi au haupo tayari napo ni sawa.
Hayo mambo ya kusema kujigharamia mwenyewe halipo labda ukute ni familia yenye uwezo na ni mara chache sana.
Wazazi wanapenda wawape watoto wao vitu vizuri lakini wakati mwingine bila support ya watu wengine hawawezi hivyo huomba msaada.
Binadamu huwezi kuishi kivyako vyako tu.
Mkuu,Wanaume wanaoa malaya
Mnaoa malaya halafu mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matataniMkuu,
Shika hamsini zako, oa unavyotaka na acha wengine waoe wanavyotaka.
Ukitaka kukagua usafi katika ndoa, hakuna ndoa itakayobaki.
Ukipiga kelele sana kuhusu wanaume wengine wanavyooa, wengine watasema una wivu tu, ulitaka kuolewa wewe.
Unaposema "mnaoa" unanijumlisha na nani?Mnaoa malaya halafu mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani
Malaya hafugiki
Hauna tofauti na kundi la hao niliowataja ndio maana nakujumuisha humohumoUnaposema "mnaoa" unanijumlisha na nani?
Unaposema "mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani" , unaweza kunionesha uzi hata mmoja niliolalamika hivyo?
Au unaona maluweluwe tu?
Hayo ni maneno ya kulazimisha tu.Hauna tofauti na kundi la hao niliowataja ndio maana nakujumuisha humohumo
SafiMichango muhimu natoa.
Mimi nikifa au kufiwa ofisi itawajibika kwa kila kitu mpaka geneza.
Acheni kuchangisha kwa vitu vya kijinga.
Mtu ni STD 7 anataka michango ya hharusi ni vyema tumchangie akalipie QT. Hata peke angu naweza kumsaidia kijana akija na wazo zuri
Ushahidi upi unaotaka?Hayo ni maneno ya kulazimisha tu.
Ndiyo maana umeshindwa kutoa ushahidi wa huo uzi nilioanzisha kulalamika.
Una hadithi ambayo haiendani na ushahidi unaoweza kuutoa, usilazimishe hadithi yako ndiyo iwe ukweli.
Weka hapa huo uzi nilioanzisha kulalamika.Ushahidi upi unaotaka?
NakaziaMoja kwa moja kwenye mada.
Jana wakati naingia ofisini nakuta kadi ya mchango wa harusi mezani nikaambiwa na mfanyakazi mwenzangu kuwa ni yangu.
Nafunua ndani nakuta haina hata jina Iko plain na wanaooana siwajui. Nikamuuliza yule mfanyakazi mwenzangu vipi mbona haina jina? Akasema wewe andika jina lako kadi kasambaza mama mmoja wa pale canteen mtoto wake anaoa.
Nilimuuliza ni mama yupi? Akanipa maelezo kuhusu huyo mama bado sijamjua, yawezekana tunaonana tu ila ndo vile simjui.
Niliwaza nikagundua kuwa huyu mama ananifahamu kidogo tu ndio maana hata jina langu kashindwa kuandika kwenye hii kadi. Nikamuuliza yule dada kwanini huyu mama atoe kadi kiholela? Mada ikaiashia hapo.
Hivi watu kama hawa ukiwaita wajinga unakosea? Kwanini mtu asifanye sherehe kwa kipato chake?
Kuwachangia mamilioni vijana kisha kuwafanyia sherehe kubwa baadaye wanaishi maisha ya kuungaunga na kuanza kutafuta ajira ni sawa na kusema walianza maisha ya fahari kisha wakaishi maisha ya kimaskini.
Binafsi michango ya hharusi na send off nachanga ila naangalia ni nani namchangia.
Ndoa nilifungia kwa DC Ilala kuepuka kashkashi zisizo na sababu. Nitaanza vipi kumdai mtu nisiyemkopesha? Maana kukusanya michango vita yake ni kama unamdai mtu.
Kijana anza maisha kwa level yako kisha pambana, inuka. Ukiwa na pesa utaweza kufanyia harusi hata Juu ya puto kwenye hifadhi ya Tarangire au Serengeti na watu watakuzawadia mamilioni mengi.
Mimi kijana akija kwangu na wazo zuri la kumwinua nawiwa kumsaidia. Nimetoa support kwa vijana kadhaa mitaani, hata hapa JF nilianzisha kamchezo nilianza kutoa mitaji midogomidogo rejea account yangu ya zamani niliyopigwa ban ya BONDE LA BARAKA.
Ni kama hao wanawake wanatumika na mbuzi..[emoji16][emoji16]Umeoa mkuu?? Hakuna mwanamke used mkuu.... ukishatumiana mnakuwa maused ma2, lakini mkienda kwa mwengine unakuwa mpya na unakuwa na thamani!!!!
Sisi wanaume wenyewe ni balaa tupu kwann mwanamke ndo anakuwa malaya? Sisi wanaume tunakuwa wakina nani?