Leo naamka na watu wajinga wanaotaka kufanya sherehe kubwa kwa kuwachangisha wengine

Umeoa mkuu?? Hakuna mwanamke used mkuu.... ukishatumiana mnakuwa maused ma2, lakini mkienda kwa mwengine unakuwa mpya na unakuwa na thamani!!!!

Sisi wanaume wenyewe ni balaa tupu kwann mwanamke ndo anakuwa malaya? Sisi wanaume tunakuwa wakina nani

Mtoa mada lazima ni jobless, ana stress.
Hapana anasema ukweli! Utalipiaje mahari mwanamke used malaya ambaye hujamkuta na bikra! Huyo ni mzoga peleka ndani kimyakimya akusaidie kusukuma Kirobati cha sembe na maharagwe! Mwanamke kuolewa bira bikra ni uhaini!
 
Ukweli ndio huo mku
Ukweli ndio upi? Mengi yameandikwa hapa, unapoandika "huo" unamaanisha nini? Unahakiki vipi huo ukweli ujue kuwa ni ukweli halisi na si maluweluwe unayoyaona wewe tu?

Mtu akikwambia yeye kuoa malaya poa tu, kwanza yeye mwenyewe malaya pia, utasema nini?
 
Kwa hiyo kadi ya mchango ndo imekufanya ukose raha kiasi cha kuja kulalamika hapa jukwaani na kuita watu wajinga?

Kama unaweza unachangia kama huna pia uwezo au hutaki tu pia unaacha sio suala la lazima.

Labda kama huna mtoto wa kike au pengine ni mdogo ki umri ila na wewe yatakuja kukufika kama haya. Jaribu kuonyesha ushirikiano na jamii yako inayokuzunguka.

Sasa ulitaka amchangie nani?!

Hilo la wao kuishi baada ya ndoa hao wawili halikuhusu hata wakilala njaa ndio ndoa yao wala wewe lisikupe shida.

Acha makelele CHANGIA WATU.
 
Kiranga,

Kuchangia sio lazima ukiweza changa kama huwezi au haupo tayari napo ni sawa.

Hayo mambo ya kusema kujigharamia mwenyewe halipo labda ukute ni familia yenye uwezo na ni mara chache sana.

Wazazi wanapenda wawape watoto wao vitu vizuri lakini wakati mwingine bila support ya watu wengine hawawezi hivyo huomba msaada.

Binadamu huwezi kuishi kivyako vyako tu.
 
Wanaume wanaoa malaya
 
Mkuu,

Mchango ukishapitishwa tu, tayari kunakuwa na social pressure ya kuchangia. Kwa hivyo usiseme kuchangia si lazima.
 
Wanaume wanaoa malaya
Mkuu,

Shika hamsini zako, oa unavyotaka na acha wengine waoe wanavyotaka.

Ukitaka kukagua usafi katika ndoa, hakuna ndoa itakayobaki.

Ukipiga kelele sana kuhusu wanaume wengine wanavyooa, wengine watasema una wivu tu, ulitaka kuolewa wewe.
 
Mnaoa malaya halafu mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani

Malaya hafugiki
 
Mnaoa malaya halafu mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani

Malaya hafugiki
Unaposema "mnaoa" unanijumlisha na nani?

Unaposema "mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani" , unaweza kunionesha uzi hata mmoja niliolalamika hivyo?

Au unaona maluweluwe tu?
 
Unaposema "mnaoa" unanijumlisha na nani?

Unaposema "mnakuja na nyuzi zenu za kulalamika ndoa ziko matatani" , unaweza kunionesha uzi hata mmoja niliolalamika hivyo?

Au unaona maluweluwe tu?
Hauna tofauti na kundi la hao niliowataja ndio maana nakujumuisha humohumo
 
Hauna tofauti na kundi la hao niliowataja ndio maana nakujumuisha humohumo
Hayo ni maneno ya kulazimisha tu.

Ndiyo maana umeshindwa kutoa ushahidi wa huo uzi nilioanzisha kulalamika.

Una hadithi ambayo haiendani na ushahidi unaoweza kuutoa, usilazimishe hadithi yako ndiyo iwe ukweli.
 
Safi
 
Ushahidi upi unaotaka?
 
Nakazia
 
Umeoa mkuu?? Hakuna mwanamke used mkuu.... ukishatumiana mnakuwa maused ma2, lakini mkienda kwa mwengine unakuwa mpya na unakuwa na thamani!!!!

Sisi wanaume wenyewe ni balaa tupu kwann mwanamke ndo anakuwa malaya? Sisi wanaume tunakuwa wakina nani?
Ni kama hao wanawake wanatumika na mbuzi..[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…