Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Wengi tunasubiri kumskikiza atasema nini, lakini mkuu - umemuoverate sana Ndg. Polepole kwenye maelezo yako.. yaani ulivyochambua ni kama Nchi yetu haina chochote kabisa kwenye ulinzi na usalama na Polepole ni top dog saaaaana.. anyway bado tunasubiri press
 
Mpina ni Pandikizi lenu.

Pole pole ndio great man

Unajua benefit anazokula Balozi?
Gentleman,
dhana potufu kama hizo ni miongoni mwa umaskini wa kiwango kibaya sana unaowatafuna watu waliobebwa ufala kifikra na matapeli wa kisiasa nchini

ni vizur kutafuta tiba ya gonjwa hilo la kisaikolojia mapema 🐒
 
Hawawezi kumkamata. Unadhani yupo TZ ? 🤣

Remember alipitia mafunzo ya intelligence na alipokuwa CuBa alijiunga kwenye zile Military Intelligence Training zinazotolewa na private entity

Hawezi kuwa mzembe anawajua CCM next move zao zote
Wanaweza kuwa wamemtishia kupitia kuteka familia yake
 
Hakuna mtu anaemuazia huyo mpumbavu
 
Kosa la Polepole kutishia atasema na kutaja muda.
Angesema kwa kushitukiza.
Amewapa muda wa kujipanga.
Na mange alishamshauri hakuna haja ya kutaja muda Wala nn
Km Gwajima,haijulikani ataongea tar 24 au 25
Ye Bado haelewi hakuna haja ya kutangaza mpk muda
 
Atakuwa mpumbavu sana kama alikuwa anafanya hizo press zake akiwa hapa Tanzania..mi nkajua pengine yuko nje za nchi.
Hayupo bongo
Yaani nawe unaamini kwamba alifanya akiwa hapa ? Mbona wangeshapita nae kitambo sn😁
Na ye anajua Hilo na alisema
 
Polepole point ya kusema nikirudi tarehe flani kwanini alifanya vile kijasusi sio vizuri bora kusema siku yoyote nikirudi hapa unawaacha watu wengi njia panda
 
Kuna mawili,either katengeneza hii movie mwenyewe ili apotee mazima au ni wale jamaa wamemalizana naye juu kwa juu!!

Kama ni hiyo ya pili,huyo jamaa ni mjinga wa mwisho sababu hivyo vi-press vya mafichoni angerusha hata akiwa Mars badala ya kujileta huku wakati anajua hali halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…