Wapo binaadamu akili huishi kwao kwa muda tu nazani nayeye nimmoja wao yeye naboss wake wakati huo walisema huyo mwekezaji nimtu safi kwanini leo anapinga wakati ule alitegemea kupata nini nasasa amekosa nini,pia tambua wakati nikiongozi wa ccm alikuwa na akili sasa zimemtoka ndio wale akili zipo kwa muda tuKatibu mwenezi wa chama kikongwe Kawa ghafla mpumbavu? Kwaio mwerevu nani Sasa..aliepewa mgodi wa makaa ya mawe bureee ?
My dear mim Niko kwenye Maombi mazito ya NOVENA ...Sina muda na huyo mwenzao ...Walisema Hana madhara,kapuuzwa nashangaa
Wewe unagombea Jimbo gani?Hivi nilisikia leo wanatangaza majina ya wabunge? mbona kimya kweli? ni leo ama?
Linahusina na press ya polepole?
Tunaomba majibu, sisi wengine mazuzu hatuelewi kitu.
Khaa .🙀Write your reply...analiwa kiboga mda huu
Enzi ya kigogo waisrael walikuwepo…. Hawakuweza kuwatumiaKuna post fulani ya Evalist Chahali ya wiki iliyopita alielezea kwa ufupi kuletwa Waisrael ili kudukua account za watu,
Hamphrey Polepole achukue hatua zote,
Hivi viongozi wa Hezbollah na Yule kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah huwa anatoa hutuba live kupitia vyombo vya habari?
Kawaacha solembaCha kushangaza zaidi wanaotumwa kufanya Doria Mitandaoni na kukesha wakizunguka Mwananyamala ni Watoto wa Masikini, ambao Wazazi wao hawakuhusika na Ufisadi wala Mauaji.(Polepole anaishi Mwananyamala Komakoma baada ya kutoka Morogoro)
Hofu imetanda kwa Watawala waliofanya Uhalifu, Maana wanaenda kuanikwa hadharani. huku mauaji yaliyofanyika wahusika wote wanaenda kutajwa.
Vikao vya Uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM Katika uchaguzi ambao hautakuwepo vimezimwa na kishindo cha Polepole, huku Mkata Swichi akipigwa na Butwaa.
..hata vitabu vitakatifu vinasema anayepanda ni mmoja, anayetia maji ni mwingine bali akuzae ni Mungu (1korinth 3:5-7)..kila neno linalotamkwa ni mbegu..nadhani umeelewa!Kwahyo mkisha msikiliza huwa mnafanya nn au mnasikiliza tu halafu then mnaenda kulala.... STUPID!
Sisumbukie kichaa mkuu we siunaona hata uandishi wake.Nchi sio yenu peke yenu izo asali zitawapalia walahi mfe . Ngoja tumalize maombi
Ni asilimia ngapi ya wary milioni 70?Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.
Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.
Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.
Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Aah ngoja nichekMkuu hii clip ni ya siku ile bhana, umetupotosha.
His last clip ilikua na milio ya Tausi kwenye backgroundKuna post fulani ya Evalist Chahali ya wiki iliyopita alielezea kwa ufupi kuletwa Waisrael ili kudukua account za watu,
Hamphrey Polepole achukue hatua zote,
Hivi viongozi wa Hezbollah na Yule kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah huwa anatoa hutuba live kupitia vyombo vya habari?
Mm naonaMbona Yuko live? Ile anawataja kina mwinyi Samia majaliwa nchimbi na watoto wao ni yalini? Anamtaja warioba na chalamila ni ya lini?