Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Utumbo mpana huu
 
Nimeisikiliza vizur hii speech ya asasi za kiraia. Nakubaliana jamaa ni mkweli na muwazi. Hapa tayar alishaviweka uchi vyama vya siasa kuwa vinatumika.
 
ulofa ni umaskini mbaya sana aise dah 🐒
 

Maandamano katika mitandao na barabarani yanaonyesha demokrasia duni​

CASE STUDY LATIN AMERICA
Kwa kweli, maandamano ya mabadiliko ni ya kawaida katika eneo lote, hasa Amerika ya Kati na mataifa ya Latin Amerika . Katika miaka ya hivi majuzi, maandamano yamesababisha mabadiliko makubwa, kama vile huko Chile, lakini mara nyingi yanatokea, kama vile Venezuela, Brazili, na Bolivia. Kwa sababu zinazohusiana na historia na tamaduni zao za kitaasisi , serikali nyingi mara kwa mara hushindwa kushughulikia matatizo ya umma kwa ujumla, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maendeleo ya kiuchumi na kazi nzuri, huduma duni au kutokuwepo usalama. Huku kukiwa na viwango vya juu vya usawa wa kiuchumi, ufisadi wa kisiasa na wizi umekithiri.

Matokeo yake, watu wanapoteza imani katika sanduku la kura na michakato ya jadi ya kidemokrasia na kuingia mitaani, mara nyingi sana kwa uharibifu na bila madai yoyote ya wazi au maalum. Ni jambo la kawaida kwa makundi nyemelezi ya upinzani, vyama au maslahi maalum kutumia hali hii kuibinya serikali kandamizi kungolewa madarakani

Muhimu zaidi, maandamano na harakati kama hizo huibuka kutoka upande wa kushoto (hivi karibuni huko Chile, Peru na Kolombia) na kulia (huko Brazili) na madai yao ya hatua za haraka, moja kwa moja huunda muundo wa mara kwa mara wa populism / vuguvugu/ movement .

Viongozi wa wenye mvuto wa hoja kupitia mikutano (karismatiki )huibuka, wakiahidi kutokomeza ufisadi, kukwepa kodi, kubinya haki ya kidemokrasia ndani ya vyama vya kisiasa na hata watawala kujichagua wenyewe kwa kukanyaga katiba
 
ibilisi wa ccm wanaisiginya Katiba kwa kuzuia mikutano ya chadema na kuwapora Luzuku kimyume cha sheria,
 
Akawie tu, muhimu afike.

Maana hawa mboga mboga ni tawi la ibilisi hapa Tanganyika.
Kifo ni kifo...kauli tata sana.
RPC mlilo kasema atafanya balaa ili asitaafuu na laana nyingi ccm ya sasa ni ya kishetani zaidi
 
Huku Polepole na press yake, kule Gwajima na siku 10 zake kwa Gavoo

Hujakaa sawa, Lissu na mashahidi wake watatu🤣

kuna mtu sehemu sukari inapanda, sukari inashuka!! Kihoro kipo juu
Yuko hoi mbaya 😁😁😁
 
Bangi za Malawi unazovuta iko siku zitakulaza pabaya
 
binafsi nilikua nimemuwekea deadline hii ndo ilikua speech yake ya mwisho ikiwa nyepesi sitomtilia maanani tena --- ila mpaka sasa naona kaingia mitini
Wewe choka mapema lakini wenzako wanasubiria ingawa ibilisi wa ccm wamemtumia majini milion 700 huko alipo
 
Content za Pole pole ukiangalia tu.......unamtoa maana. Hana uwezo na personality ya kuwasilisha hoja na akaeleweka
 
Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Counter inasoma takwimu kuonesha shauku kuu :​

​

LIVE: HUMPHREY POLEPOLE KUZUNGUMZA NA UMMA MUDA MFUPI UJAO​

160.7K views · Streamed 1 hour ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…