Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Uchaguzi 2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

Lema amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao

Mnyika, Katibu Mkuu wa chama, amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao

Potential future First Lady amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao

Mwenyekiti wa chama Mbowe amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao

This is unacceptable by any standards...

Wangeacha tu kufanya maigizo ya kurusha mkutano mubashara

Maana yale ni maigizo
 
Huyu jamaa itakuwa simu yake imedukuliwa...sio bure huyu mwanalumumba!
 
Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum Mwalimu Live TBC itaingia matatizoni akawaambia ondokeni hatuwataki fungeni vyombo vyenu kwendeni zenu.

Hilo tamko nimelikubali Mia kwa Mia kwa sababu TBC walikiuka sheria za utangazaji kipande Cha mwanzo Cha hotuba ya Mbowe.

Mbowe alifanya vile kama mzalendo namuombea CCM naomba tusiweke nguvu sana Jimbo la Mbowe kumtoa ana uzalendo.

Mafundi mitambo na wahariri wa TBC waliokuwepo Leo Mbagala wachukuliwe hatua na TBC haraka na Mbowe aachiwe Jimbo hata alishindwa naomba Raisi Magufuli mpe uteuzi ubunge wa viti vya kuteuliwa Yuko vizuri kulinda maslahi ya taifa na uzalendo. Amenigusa Sana jopo la TBC kikishindwa kuona Hadi Mbowe aone?
Tbccm ni hovyooo kuliko jongoo. Nchi hii ni kituko awamu ya 5. Mwisho wao ni laana ya milele.
 
YEHODAYA kawapiga bavicha kwa mgongo wa chupa.

Alafu nmemsikia Lisu leo akikujibu ile hoja yako kwamba hana hela ya kampeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
CDM Hamjui nguvu ya TV.Nilikuwa na hamu ya kumsikia sera zenu lakini maamuzi tena.kwa sisi ambao hatujalipia ving'amuzi tunaipata TBC.
 
Hii ndiyo reli iliyo pitisha treni arusha mjanja ataelewa tu
20200828_084231.jpeg
20200828_084203.jpeg
20200828_084159.jpeg
 
Mimi CCM hata tukilichukua jimbo la Mbowe namuombea ubunge wa kuteuliwa Leo TBC wangerusha live kila kitu bila Mbowe mzalendo kufukuza TBC saa hii tingekuwa tunaongea mengine
His ni sababu mojawapo ya serikali kukutaza bangi.
 
Kwamtazamo wangu !

Chadema wameonewa kwa kiwango kisichovumilika kwa viwango vya kawaida vya kibinadamu.

Chadema imeonewa mno imehujumiwa mno imedhulumiwa mno. Na bado mshindani wake ambae ni CCM haachi Wala haoni aibu kabisa.

KIUKWELI Mimi sio mtu wa dini ila Mambo waliyofanyiwa cahdema kwa miaka yote mitano bado hayajakoma na inavyoonekana bado ubaya mkubwa umehifadhiwa haujatumika ila uko mbioni kutumika na State.

Najiuliza kuhusu TBC.

TBC televisheni ya taifa sitasema chochote ndani ya hii thread yangu juu yenu naomba Kama Kuna official wa TBC humu au wa serikali ajibu swali hili!

Je ? Mbowe alikosea kuwafukuza kwenye mkutano wa Leo?

Ili niitendee imani yangu haki Mimi namuogopa Mungu sitasema lolote mpaka nione maoni ya wadau juu yenu ili nisiwaonee na labda wao waliona kitu tofauti namimi.

Eee Mungu ulie mkuu naomba Kama TBC wanatenda haki basi wabariki.

Mungu ibariki CCM Kama kweli inatenda haki kwa taifa.
 
Back
Top Bottom