Kijana wetu kaacha tungi , ndio maana mikosi inamuandama🤣Ewaaaaaahh 😹😹😹
Kijana tulia utajitonesha mkono, ujue maumivu ya kudondoka na bodaboda sio mchezo mnaruka kama Jet li 😹Hapana huo ni uongo leta ushahidi uwe na memory
Mkuu wewe ni medical personnel? wasalimie mashangazi zangu na mama wadogo hapo babati.Pole sana ndugu,ndo wewe tuliokupokea hapa hospital ya Mrara!?
Usa river tuk tuk ( etuk ) zipo 🤣🤣Kijana tulia utajitonesha mkono, ujue maumivu ya kudondoka na bodaboda sio mchezo mnaruka kama Jet li 😹
Wanafikria tuk tuk zipo tu tzUSA river tuk tuk ( etuk ) zipo 🤣🤣View attachment 3693585
Kwahiyo kupigana ngumi za asubuhi na mkeo, kwa hushindwa kuacha hela ya mboga Jumatatu unakuja kutusimulia hapa!Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo.
Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance.
God did!!
Pale gongoki karibu na mrara darajani nimekula sana supu ya utumbo na konyagi🤣Mkuu wewe ni medical personnel? wasalimie mashangazi zangu na mama wadogo hapo babati.
Hahaah mkuu hayo maini yatakuwa yamebaki chekeche.Pale gongoki karibu na mrara darajani nimekula sana supu ya utumbo na konyagi🤣
Hahaha gongoki miaka ya ya 2005 ndio palikua kijiwe changu cha kulamba ulabu , kulikua na mtoto mmoja wa kimbulu ana unywele unagusa chini , kanahudumia aiseee kila jmos lazima unikute nachuja nafaka pale darajani😅😅Hahaah mkuu hayo maini yatakuwa yamebaki chekeche.
Ni jambo la kushukuru. Dunia hii iliyojaa vyombo vya moto inatisha sana, muda wowote unaweza kujita ahera.Maisha yamenipa Tena second chance
Unapajua gongoki?😅Pole sana ndugu,ndo wewe tuliokupokea hapa hospital ya Mrara!?
Tokea uache pombe mambo Yako yanaenda mrama. Pole mkuu.
Mimi sisemi hiiiii .. yangu masikioooo by msondo ngoma band 😁Weeh diaspora wa JF wanachekesha balaa 😹
Huyu Nilijua kuna siku atamix mafile..!!